hii ni hatari sana mpenzi wangu.
kuna mtu ananifanyia hujuma.
nani huyu?????
nakupenda
'Valentina' wangu. nakupenda sana, kila siku huwa nakuambia..
machoni hapa yananitoka nisomapo hayo maandishi juu ya
ICHANA...
kuna mtu tu! anataka kuniharibia penzi letu hny.
usiwasikilize kabisa..
na huyo mtu aliyehuck akaunti yangu na kuanza kumtongoza mke wa
Mokoyo kwa jina langu ashitakiwe mazima.