Nashukuru mkuu, karibu hapa kuna ajari kubwa sana, watu wako mahututi! Kuna mtu ame hack acc ya uran akamsomesha ICHANA mpaka akaelekea, tatizo mke akatokea jamaa aka log off na kutokomea, Sasa case imembana uran
Posho zipo nimekosa uweka hazina, lakini nimemuomba Lady doctor anipe nafasi ya mshauri mkuu wa maamuzi, na pia mke hana haja ya kwenda kwao, Nina nyumba kubwa atakaa kwangu mpaka case itakapo pata maamuzi.
Kama uweka hazina nimekosa, basi niwe mtu wa aman ktk kamati, mke Aje akae kwangu mpaka kesi itakapopata suluhu, si unajua anahasira amerudi kwao.nitamrinda vizuri tu.