Mhhh shem
miss neddy mbona aliniapia kuwa kwako kafika ametulia?!Au kuna kazi unashindwa kufanya?Itabidi uje kwa dada yako akufunde,maana mi ninavyokuwa nimechoka na mawazo yote yanavyokuwa kwake,hata mchepuko uweje siwezi kuuwaza!!Mawazo,akili na nguvu zote kila dakika ni kwa huyo laazizi wangu
Bantu lady