sungura1980 JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 1,909 Reaction score 1,225 Mar 21, 2014 #4,001 Kibo10 said: Kaniambia sungura1980 una hali nzuri nimemtuma akupe taarifa nakutafuta naona katekeleza mwambia sungura1980 nashukuru kwa kufikisha ujumbe, Yani leo mzee wa kaya kanikata stimu zangu zote!! Click to expand... Asante mkuu Kibo10,,tunashukuru kwa pole zako,,sasa ngoja tupumzike! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kibo10 said: Kaniambia sungura1980 una hali nzuri nimemtuma akupe taarifa nakutafuta naona katekeleza mwambia sungura1980 nashukuru kwa kufikisha ujumbe, Yani leo mzee wa kaya kanikata stimu zangu zote!! Click to expand... Asante mkuu Kibo10,,tunashukuru kwa pole zako,,sasa ngoja tupumzike!
sungura1980 JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 1,909 Reaction score 1,225 Mar 21, 2014 #4,002 Honey Faith said: Leo kazi unayo shem wangu Click to expand... Ninayo si kidogo shem wangu Honey Faith!Msalimie mdogo wangu Rich Pol!Ebu mchumu shavuni mwambie namsalimia! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Honey Faith said: Leo kazi unayo shem wangu Click to expand... Ninayo si kidogo shem wangu Honey Faith!Msalimie mdogo wangu Rich Pol!Ebu mchumu shavuni mwambie namsalimia!
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Mar 21, 2014 #4,003 Honey Faith said: Siasa zinaumiza kichwa kwa uongo wao ndo maana tunazichukia Click to expand... yani ni bora kabisa mimi na wewe tuanzishe timu yetu wawili tu tusiumizwe na siasa!
Honey Faith said: Siasa zinaumiza kichwa kwa uongo wao ndo maana tunazichukia Click to expand... yani ni bora kabisa mimi na wewe tuanzishe timu yetu wawili tu tusiumizwe na siasa!
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,692 Mar 21, 2014 #4,004 Kibo10 said: Kaniambia sungura1980 una hali nzuri nimemtuma akupe taarifa nakutafuta naona katekeleza mwambia sungura1980 nashukuru kwa kufikisha ujumbe, Yani leo mzee wa kaya kanikata stimu zangu zote!! Click to expand... Zimefika kabisa, hamu sina mbona miye. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kibo10 said: Kaniambia sungura1980 una hali nzuri nimemtuma akupe taarifa nakutafuta naona katekeleza mwambia sungura1980 nashukuru kwa kufikisha ujumbe, Yani leo mzee wa kaya kanikata stimu zangu zote!! Click to expand... Zimefika kabisa, hamu sina mbona miye.
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Mar 21, 2014 #4,005 Bantu lady said: Zimefika kabisa, hamu sina mbona miye. Click to expand... Eti Bantu lady wewe ukiambiwa upigwe 3 au 2 au 1ipi utafurahia? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bantu lady said: Zimefika kabisa, hamu sina mbona miye. Click to expand... Eti Bantu lady wewe ukiambiwa upigwe 3 au 2 au 1ipi utafurahia?
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Mar 21, 2014 #4,006 Kibo10 said: Habari gani Excel sungura1980 uran Bantu lady nimeona nije huku kwenu kupumzisha ubongo baada ya kumsikiliza mzee yusuph kwa muda mrefu hapa bungeni akanichosha kwa mipasho yake! Poleni na majukumu kwa ujumla wenu! Click to expand... hongera sana kwa kurudi nyumbani! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kibo10 said: Habari gani Excel sungura1980 uran Bantu lady nimeona nije huku kwenu kupumzisha ubongo baada ya kumsikiliza mzee yusuph kwa muda mrefu hapa bungeni akanichosha kwa mipasho yake! Poleni na majukumu kwa ujumla wenu! Click to expand... hongera sana kwa kurudi nyumbani!
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Mar 21, 2014 #4,007 sungura1980 said: Ninayo si kidogo shem wangu Honey Faith!Msalimie mdogo wangu Rich Pol!Ebu mchumu shavuni mwambie namsalimia! Click to expand... Huyo mdogo wako muda huu huwa hapatikaniki sijui huwa anakuwa wapi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sungura1980 said: Ninayo si kidogo shem wangu Honey Faith!Msalimie mdogo wangu Rich Pol!Ebu mchumu shavuni mwambie namsalimia! Click to expand... Huyo mdogo wako muda huu huwa hapatikaniki sijui huwa anakuwa wapi?
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Mar 21, 2014 #4,008 Bantu lady said: My hubby uko wapi? nataka kupasuka kwa hasira huku. Click to expand... hahahahaha kapita njia ya pembeni
Bantu lady said: My hubby uko wapi? nataka kupasuka kwa hasira huku. Click to expand... hahahahaha kapita njia ya pembeni
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,692 Mar 21, 2014 #4,009 miss neddy said: hahahahaha kapita njia ya pembeni Click to expand... Hapana bana my wii, my bro Excel mzima? Tulikuwa wote akatoka ila alirudi baada ya kumtafuta, my hubby yuko hapa kalala tayari. Hana mchepuko kabisa.
miss neddy said: hahahahaha kapita njia ya pembeni Click to expand... Hapana bana my wii, my bro Excel mzima? Tulikuwa wote akatoka ila alirudi baada ya kumtafuta, my hubby yuko hapa kalala tayari. Hana mchepuko kabisa.
M Mashimba1 JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 814 Reaction score 303 Mar 21, 2014 #4,010 miss neddy said: hahahahaha kapita njia ya pembeni Click to expand... Aaah, miss neddy, unaniua mtoto wa mwanamke mwenzio! LOVE U SO MUCH.
miss neddy said: hahahahaha kapita njia ya pembeni Click to expand... Aaah, miss neddy, unaniua mtoto wa mwanamke mwenzio! LOVE U SO MUCH.
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,692 Mar 21, 2014 #4,011 Kibo10 said: Eti Bantu lady wewe ukiambiwa upigwe 3 au 2 au 1ipi utafurahia? Click to expand... Tatu (3) bila kupepesa macho. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kibo10 said: Eti Bantu lady wewe ukiambiwa upigwe 3 au 2 au 1ipi utafurahia? Click to expand... Tatu (3) bila kupepesa macho.
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Mar 21, 2014 #4,012 Bantu lady said: Hapana bana my wii, my bro Excel mzima? Tulikuwa wote akatoka ila alirudi baada ya kumtafuta, my hubby yuko hapa kalala tayari. Hana mchepuko kabisa. Click to expand... hahahahahahaha hakuna mwanaume asiechepuka mfuga maradhi haponi we haya Excel ndo namtafuta sijui kafichwa wapi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bantu lady said: Hapana bana my wii, my bro Excel mzima? Tulikuwa wote akatoka ila alirudi baada ya kumtafuta, my hubby yuko hapa kalala tayari. Hana mchepuko kabisa. Click to expand... hahahahahahaha hakuna mwanaume asiechepuka mfuga maradhi haponi we haya Excel ndo namtafuta sijui kafichwa wapi
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Mar 21, 2014 #4,013 Mashimba1 said: Aaah, miss neddy, unaniua mtoto wa mwanamke mwenzio! LOVE U SO MUCH. Click to expand... mhhhhhhhhhhh mimi mke wa mfalme Excel Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mashimba1 said: Aaah, miss neddy, unaniua mtoto wa mwanamke mwenzio! LOVE U SO MUCH. Click to expand... mhhhhhhhhhhh mimi mke wa mfalme Excel
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,692 Mar 21, 2014 #4,014 miss neddy said: hahahahahahaha hakuna mwanaume asiechepuka mfuga maradhi haponi we haya Excel ndo namtafuta sijui kafichwa wapi Click to expand... Hahhhaaaa huyu wangu nimemtuliza mwenzako. Hapa kafika akijaribu tu anahisi namuona. Kaka yangu Excel atakuwa mahaba pub na mrembo. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
miss neddy said: hahahahahahaha hakuna mwanaume asiechepuka mfuga maradhi haponi we haya Excel ndo namtafuta sijui kafichwa wapi Click to expand... Hahhhaaaa huyu wangu nimemtuliza mwenzako. Hapa kafika akijaribu tu anahisi namuona. Kaka yangu Excel atakuwa mahaba pub na mrembo.
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Mar 21, 2014 #4,015 Bantu lady said: Hahhhaaaa huyu wangu nimemtuliza mwenzako. Hapa kafika akijaribu tu anahisi namuona. Kaka yangu Excel atakuwa mahaba pub na mrembo. Click to expand... aiseeeeeeeee iko wapi hiyo pub nipe location
Bantu lady said: Hahhhaaaa huyu wangu nimemtuliza mwenzako. Hapa kafika akijaribu tu anahisi namuona. Kaka yangu Excel atakuwa mahaba pub na mrembo. Click to expand... aiseeeeeeeee iko wapi hiyo pub nipe location
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Mar 21, 2014 #4,016 Bantu lady said: Hahhhaaaa huyu wangu nimemtuliza mwenzako. Hapa kafika akijaribu tu anahisi namuona. Kaka yangu Excel atakuwa mahaba pub na mrembo. Click to expand... wai monke weito!!! wanyita!! lols! hebu jaribu kuvaa hicho kiatu...
Bantu lady said: Hahhhaaaa huyu wangu nimemtuliza mwenzako. Hapa kafika akijaribu tu anahisi namuona. Kaka yangu Excel atakuwa mahaba pub na mrembo. Click to expand... wai monke weito!!! wanyita!! lols! hebu jaribu kuvaa hicho kiatu...
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,600 Reaction score 6,721 Mar 21, 2014 #4,017 Duuh mnatishaa Sent from my iPhone using JamiiForums
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,692 Mar 21, 2014 #4,018 miss neddy said: aiseeeeeeeee iko wapi hiyo pub nipe location Click to expand... Unaona kaja haraka haraka my wii? Sasa usimwachie tena, mchukue mkalale.
miss neddy said: aiseeeeeeeee iko wapi hiyo pub nipe location Click to expand... Unaona kaja haraka haraka my wii? Sasa usimwachie tena, mchukue mkalale.
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,692 Mar 21, 2014 #4,019 Excel said: wai monke weito!!! wanyita!! lols! hebu jaribu kuvaa hicho kiatu... Click to expand... Wow thanks my bro, kizuri hiki natoka nacho kesho out usiku. Nina mtoko umenirahisishia ahsante sana, hope umemuona wifi yangu alikuwa anakutafuta.
Excel said: wai monke weito!!! wanyita!! lols! hebu jaribu kuvaa hicho kiatu... Click to expand... Wow thanks my bro, kizuri hiki natoka nacho kesho out usiku. Nina mtoko umenirahisishia ahsante sana, hope umemuona wifi yangu alikuwa anakutafuta.
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Mar 21, 2014 #4,020 Bantu lady said: Unaona kaja haraka haraka my wii? Sasa usimwachie tena, mchukue mkalale. Click to expand... nimeona but atakupaje zawadi bila kushauriana na mimi mke wake
Bantu lady said: Unaona kaja haraka haraka my wii? Sasa usimwachie tena, mchukue mkalale. Click to expand... nimeona but atakupaje zawadi bila kushauriana na mimi mke wake