Tembosa,kaolewa huyo,hata sasa bado tuko kitandani,,sema kuna vijana wanawatafutia watu wengine kesi za mauaji kwa nguvu sana!Sijui anataka kujiua?Sasa ameogopa kitanzi na sumu kaona bora afe kwa kifo kingine!
Honey wala asikusumbue huyu, si unajua kiasi gani nachokupenda na sijawahi kukusaliti. Anakwambia maneno na kuyachochea ili uniache tu na anaonekana ni bazazi, kuna mtu kanidokeza kapita kwingi tena kwa watu wenye ndoa zao.
Mimi nakupenda sana.
Hahahaaa kumbe wewe unaogopa kuchafuliwa? why unanichafua mimi kuwa huwa nachepuka na mume wangu anaona live. Sema ni mume anayenipenda sana, angekuwa mwanaume wa kupita angeshaniacha siku nyingi.
Salama mkuu,Duhhh mkuu Rich Pol kuna kijana nilimsubiri toka juzi nimfanye chakula ya dog hata hajatokea,vijana hawa siku hizi wana hirizi sijui!!
Hajambo bibie Honey Faith?
Hatujambo bibie Honey Faith,jamani muonee huruma Rich Pol,karibu ataanza kuokota makopo kwa ajili ya penzi lako.Anakupenda kweli kila siku,kila saa kila dakika haachi kukutaja!Mpe nafasi ndani ya mtima wako tafadhari!Hata dada yako Bantu lady,amekuomba umpe nafasi huyo Rich Pol jamani!