excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Mar 10, 2014 #3,701 kiwatengu said: we unashauri nini kaka? Click to expand... charty na Jipu wanahitaji approval.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Mar 10, 2014 #3,702 kiwatengu said: kuna mtu anataka kumwoa charty hapa.. we unasemaje? Click to expand... charty yule bidada mwenye kijungu? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kiwatengu said: kuna mtu anataka kumwoa charty hapa.. we unasemaje? Click to expand... charty yule bidada mwenye kijungu?
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Mar 10, 2014 Thread starter #3,703 Excel said: charty na Jipu wanahitaji approval.. Click to expand... wadhibitishwe hapa? nataka ushauri wako
Excel said: charty na Jipu wanahitaji approval.. Click to expand... wadhibitishwe hapa? nataka ushauri wako
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Mar 10, 2014 Thread starter #3,704 Excel said: charty yule bidada mwenye kijungu? Click to expand... sasa unasemaje? waowane?
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Mar 10, 2014 #3,705 kiwatengu said: sasa unasemaje? waowane? Click to expand... aolewe tu! umri wenyewe ndio huo ushaanza diminishing return... waoze!
kiwatengu said: sasa unasemaje? waowane? Click to expand... aolewe tu! umri wenyewe ndio huo ushaanza diminishing return... waoze!
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Mar 10, 2014 Thread starter #3,706 Excel said: aolewe tu! umri wenyewe ndio huo ushaanza diminishing return... waoze! Click to expand... mi ninachofanya ni kuwaweka pale juu wajulikane.. kama watataka ndoa hapa tutafanya hiyo kazi mwenye majukumu yakufungisha ndoa hapa ni Baba V yuko kimya sana huyu..ndoa kibao hapo juu zinamgoja. wewe Baba V nakuita hapa, ufanye yako. na usichelewe tafadhali sana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Excel said: aolewe tu! umri wenyewe ndio huo ushaanza diminishing return... waoze! Click to expand... mi ninachofanya ni kuwaweka pale juu wajulikane.. kama watataka ndoa hapa tutafanya hiyo kazi mwenye majukumu yakufungisha ndoa hapa ni Baba V yuko kimya sana huyu..ndoa kibao hapo juu zinamgoja. wewe Baba V nakuita hapa, ufanye yako. na usichelewe tafadhali sana
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Mar 10, 2014 Thread starter #3,707 Catherini popote ulipo, hebu sogea hapa kidogo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Mar 10, 2014 #3,708 kiwatengu said: akidhibitisha si utalia hadhari wewe?/ nakujua ulivyo mwepesi kumwaga chozi Click to expand... Ni nani huyo anaetaka nithibitishe????
kiwatengu said: akidhibitisha si utalia hadhari wewe?/ nakujua ulivyo mwepesi kumwaga chozi Click to expand... Ni nani huyo anaetaka nithibitishe????
Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,877 Reaction score 5,694 Mar 10, 2014 #3,709 kiwatengu said: akidhibitisha si utalia hadhari wewe?/ nakujua ulivyo mwepesi kumwaga chozi Click to expand... Bora nitoe machozi niumie najua machungu yataisha ila siewezi kuachia kirahisi hivyo! Ila mkuu wewe hutakiwi kunifanyia hivyo, inatakiwa unilinde na kunitete mpaka mwisho.
kiwatengu said: akidhibitisha si utalia hadhari wewe?/ nakujua ulivyo mwepesi kumwaga chozi Click to expand... Bora nitoe machozi niumie najua machungu yataisha ila siewezi kuachia kirahisi hivyo! Ila mkuu wewe hutakiwi kunifanyia hivyo, inatakiwa unilinde na kunitete mpaka mwisho.
Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,877 Reaction score 5,694 Mar 10, 2014 #3,710 Honey Faith said: Ni nani huyo anaetaka nithibitishe???? Click to expand... Honey eti hizi habari ni za kweli?!.
Honey Faith said: Ni nani huyo anaetaka nithibitishe???? Click to expand... Honey eti hizi habari ni za kweli?!.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Mar 10, 2014 #3,711 Rich Pol said: Honey eti hizi habari ni za kweli?!. Click to expand... Habari gani hizo tena????
Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,877 Reaction score 5,694 Mar 11, 2014 #3,712 Honey Faith said: Habari gani hizo tena???? Click to expand... Kuna somebody Rogie anadai anauhusiano na wewe hii imekaaje my sweetheart Honey Faith ?!. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Honey Faith said: Habari gani hizo tena???? Click to expand... Kuna somebody Rogie anadai anauhusiano na wewe hii imekaaje my sweetheart Honey Faith ?!.
Window7 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 4,109 Reaction score 3,054 Mar 11, 2014 #3,713 J.lee said: Excel tengua kauli mi na vibabu kama Window7 wapi na wapi jamani?yani nlikua kipofu lakini Exceptional kabadili mtazamo wangu! infwact Exceptional yupo but nje ya nchi kaenda kuchukua bidhaa UK so busy busy kidogo akirudi ntakwambia. Click to expand... Nakuangalia tu ila siku nikifunga kibwebwe utanibeba tu we mwana weh.. Lol! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
J.lee said: Excel tengua kauli mi na vibabu kama Window7 wapi na wapi jamani?yani nlikua kipofu lakini Exceptional kabadili mtazamo wangu! infwact Exceptional yupo but nje ya nchi kaenda kuchukua bidhaa UK so busy busy kidogo akirudi ntakwambia. Click to expand... Nakuangalia tu ila siku nikifunga kibwebwe utanibeba tu we mwana weh.. Lol!
shansarie JF-Expert Member Joined May 25, 2013 Posts 5,690 Reaction score 3,370 Mar 11, 2014 #3,714 kiwatengu said: mi niko poa sana, much good mke wangu shansarie ananipa raha za kunitosha Click to expand... Tunapeana raha mpenzi nakupenda hny wangu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kiwatengu said: mi niko poa sana, much good mke wangu shansarie ananipa raha za kunitosha Click to expand... Tunapeana raha mpenzi nakupenda hny wangu
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Mar 11, 2014 Thread starter #3,715 Rich Pol said: Bora nitoe machozi niumie najua machungu yataisha ila siewezi kuachia kirahisi hivyo! Ila mkuu wewe hutakiwi kunifanyia hivyo, inatakiwa unilinde na kunitete mpaka mwisho. Click to expand... mpaka uapologize...
Rich Pol said: Bora nitoe machozi niumie najua machungu yataisha ila siewezi kuachia kirahisi hivyo! Ila mkuu wewe hutakiwi kunifanyia hivyo, inatakiwa unilinde na kunitete mpaka mwisho. Click to expand... mpaka uapologize...
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Mar 11, 2014 #3,716 J.lee said: ha!ha!haa nihonge kwanza maana midume haitaki kutuhonga acha tuongane wenyewe jamani miss neddy Click to expand... chagua kazawadi basiiiii nikupe nini Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
J.lee said: ha!ha!haa nihonge kwanza maana midume haitaki kutuhonga acha tuongane wenyewe jamani miss neddy Click to expand... chagua kazawadi basiiiii nikupe nini
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Mar 11, 2014 Thread starter #3,717 miss neddy said: chagua kazawadi basiiiii nikupe nini Click to expand... na mimi naomba.. kama ya J lee
miss neddy said: chagua kazawadi basiiiii nikupe nini Click to expand... na mimi naomba.. kama ya J lee
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Mar 11, 2014 Thread starter #3,718 Window7 said: Nakuangalia tu ila siku nikifunga kibwebwe utanibeba tu we mwana weh.. Lol! Click to expand... ushaonekana kibabu?
Window7 said: Nakuangalia tu ila siku nikifunga kibwebwe utanibeba tu we mwana weh.. Lol! Click to expand... ushaonekana kibabu?
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,754 Mar 11, 2014 #3,719 kiwatengu said: na mimi naomba.. kama ya J lee Click to expand... hahahaha kiwatengu unataka upewe zawadi kwani umefanya nini J.lee kuna kazi nimempa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kiwatengu said: na mimi naomba.. kama ya J lee Click to expand... hahahaha kiwatengu unataka upewe zawadi kwani umefanya nini J.lee kuna kazi nimempa
J.lee JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,672 Reaction score 834 Mar 11, 2014 #3,720 miss neddy said: chagua kazawadi basiiiii nikupe nini Click to expand... nataka shilingi ile ya enzi Nyerere hyo tu my wii.
miss neddy said: chagua kazawadi basiiiii nikupe nini Click to expand... nataka shilingi ile ya enzi Nyerere hyo tu my wii.