Honey faith please hebu muhurumie Rich pol uwe naye, kijana kahangaika sana sana, anaingilia mpk ndoa za watu. Mimi alikuwaga jenereta langu zamani sana kwa mapenzi niliyompa akawa hasikii haambiwi juu yangu.
Ila baada ya kuona kaniganda sana na ndoa yangu kunusurika kuvunjika nikampiga chini.
Sasa tangu hapo anahaha tu.
Honey siyo kama unavyofikiria, ninaposema huduma kanitelekeza bila hata kunisaidia nipate mke, na aliahidi kunisaidia nikuoe, napata taabu sana sina mke mwenzangu Daudi1 ameoa juzi na ameturia, naomba nikuoe honey.

Huyo ni vile hajapata wa kumtuliza tu. Ukiwa naye utaenjoy sana anajua kupenda sana, akianza michepuko niambie na nimeshamuonya akikupata atulie, wewe umetulia sana.