Yeah! Ondoa hofu! Be free! Jana nimekusubiri sana wala hujatokea usingizi ukanipitia, anyway karibu ndani ila kichwa cha nyoka kimepoa, tuongee kwanza ukitaka kukila utakipasha moto mwenyewe.