Wewe naye unajishaua hivyo hata huyo mke jina hulijui. Wala hakujui na hajaambiwa bado, kesho utaoa hewa.
Heheheee kwani kesho mbali tuone hiyo ndoa. Mi nakuombea uoe msukule wangu, sababu muda wowote utakuwa kwangu.
Hapana si mimi, nilishajaribu utawa ukanishinda sasa umama mchungaji sitauweza kabisa.
Kuna mrembo mmoja anaitwa rosita ndio huyo amefunguka kuwa anakupenda sana.
Hapana si mimi, nilishajaribu utawa ukanishinda sasa umama mchungaji sitauweza kabisa.
Kuna mrembo mmoja anaitwa rosita ndio huyo amefunguka kuwa anakupenda sana.
Hahaha bibiee shansarie ww kunguru lako halifugiki litakuja hata PM ungemuacha nimchune mpaka mpaka asahau kukupa. Hela ya mafuta!!si alikua anajishaua kuninunulia tablet akat ww so called yf unatumia siemes ya kidolee juu! Cjui huh!