sasa kijana, ntakupa adhabu utakayofanya mwezi mzima mpaka mtakapofunga ndoa na huyu binti.. anza kwa reputation kwanza mzee wako afurahi kwa kazi nzito aliyoifanya!!!!
hivi maparoko huwa wanoa eenh? kuna mwingine anaitwa Kaizer.. ni mpole, mcheshi, mtulivu, anapenda sana kondoo wake na ni mtu actually mwenye bidii na kazi!
hivi maparoko huwa wanoa eenh? kuna mwingine anaitwa Kaizer.. ni mpole, mcheshi, mtulivu, anapenda sana kondoo wake na ni mtu actually mwenye bidii na kazi!
Hiyo ni kazi kubwa bora ungeniambia some traits naweza zisoma kupitia post na comments zako japo pia sio determinant ...but wanasema kimtokacho mtu ndicho kilichojaza moyo wake rty?