Mpenzi
Bantu lady,kama yalivyo macho,hayaonani,lakini moja yanafumba pamoja na ikitokea moja likaumia yote yanatoa machozi!Ndivyo na sisi tulivyo barafu wangu,hata nisipokuwepo lakini popote ninapokuwa na chochote ninachokifanya nakuwaza wewe malkia wangu,nakupenda sisimko langu la mwili
Bantu lady!