Kuna mtu nammiss sana, nawezaje kuishi hivi?
Hata nilivyofanya ni kwasababu nakumiss ujue. Najua uko busy sana sana ila ujue tu ni jinsi gani nakumiss my honey.
Nakupenda pia mume wangu, umeona mabazazi wanavyonizengea? Nikikwambia kitu wewe wanafikiria ni wao. Nakupenda najua now ni huo ubusy tu, ukiisha nitaenjoy tena. Pia pole sana nakuonea huruma kipindi hiki na utapungua sana.
Hahahaaa kishanicall angalau nimepata tabasamu. Mpango wa jenereta nimelisimamisha kwanza, ilibaki kidogo nimuue kwa presha mume wangu. Hakuamini kama nimimi ndio nasema vile.
Hahahahaa nakupendaje Honey faith jamani, umepotea ghafla.
Mtahema tu wala si mkaaji huyu mpaka next week ndio mjitayarishe hamtakunywa wala kula. Nitawaonea huruma mpumue tu.
Usinifanyie hivyo mwenzio, Nina NIA njema tu kwako kwanini unilipe kwa ubaya? Nionee huruma, nitanunua kucha za rangi na vifaa vingine, nikija kwako najifanya nsafisha kucha na miguu