Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,503 Reaction score 42,575 Feb 15, 2014 #2,321 Evelyn Salt said: Nimewadaka, kwanini mmeniita mdudu? hivi mnamjua mdudu nyie? Click to expand... nani kakuita mdudu jaman
Evelyn Salt said: Nimewadaka, kwanini mmeniita mdudu? hivi mnamjua mdudu nyie? Click to expand... nani kakuita mdudu jaman
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Feb 15, 2014 #2,322 lusungo said: nani kakuita mdudu jaman Click to expand... Mmeniita mdudu jukwaa la kazi nikawavungia tu, kwanini?
lusungo said: nani kakuita mdudu jaman Click to expand... Mmeniita mdudu jukwaa la kazi nikawavungia tu, kwanini?
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,503 Reaction score 42,575 Feb 15, 2014 #2,323 Evelyn Salt said: Mmeniita mdudu jukwaa la kazi nikawavungia tu, kwanini? Click to expand... inawezekana tulimaanisha vingine mamii duh mwenzio nafikiria kukupa jibu we ndo umeniwacha eeh
Evelyn Salt said: Mmeniita mdudu jukwaa la kazi nikawavungia tu, kwanini? Click to expand... inawezekana tulimaanisha vingine mamii duh mwenzio nafikiria kukupa jibu we ndo umeniwacha eeh
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Feb 15, 2014 #2,324 lusungo said: inawezekana tulimaanisha vingine mamii duh mwenzio nafikiria kukupa jibu we ndo umeniwacha eeh Click to expand... Napenda nikimtokea mtu anipe jibu haraka make lazma uazime janvi kabla hawajaomba wenzako kuna mwenzio kishaomba...
lusungo said: inawezekana tulimaanisha vingine mamii duh mwenzio nafikiria kukupa jibu we ndo umeniwacha eeh Click to expand... Napenda nikimtokea mtu anipe jibu haraka make lazma uazime janvi kabla hawajaomba wenzako kuna mwenzio kishaomba...
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,503 Reaction score 42,575 Feb 15, 2014 #2,325 Evelyn Salt said: Napenda nikimtokea mtu anipe jibu haraka make lazma uazime janvi kabla hawajaomba wenzako kuna mwenzio kishaomba... Click to expand... teh teh teh haya nimekuelewa akilirudisha nipe mie sasa
Evelyn Salt said: Napenda nikimtokea mtu anipe jibu haraka make lazma uazime janvi kabla hawajaomba wenzako kuna mwenzio kishaomba... Click to expand... teh teh teh haya nimekuelewa akilirudisha nipe mie sasa
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Feb 16, 2014 Thread starter #2,326 lusungo said: teh teh teh haya nimekuelewa akilirudisha nipe mie sasa Click to expand... ulikuja nae vizuri sana eti, mbona umemwachia gafla?
lusungo said: teh teh teh haya nimekuelewa akilirudisha nipe mie sasa Click to expand... ulikuja nae vizuri sana eti, mbona umemwachia gafla?
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 29,503 Reaction score 42,575 Feb 16, 2014 #2,327 kiwatengu said: ulikuja nae vizuri sana eti, mbona umemwachia gafla? Click to expand... teh teh teh amekasirika coz kaniimbisha mda mrefu nikawa namcheleweshea jibu.. Ghafla akatokea wa kumuimbia na yeye akaona bora akaimbiwe kuliko kumwimbia mtu lol
kiwatengu said: ulikuja nae vizuri sana eti, mbona umemwachia gafla? Click to expand... teh teh teh amekasirika coz kaniimbisha mda mrefu nikawa namcheleweshea jibu.. Ghafla akatokea wa kumuimbia na yeye akaona bora akaimbiwe kuliko kumwimbia mtu lol
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 Feb 16, 2014 #2,329 lusungo said: mwaghona sewo.... hajanifanyia hapa ni kule kwenye jukwaa lingine la MMU anajifanya controller wa kila kitu nimechukia sana na kumsamehe siwezi mwanume anaendekeza tabia za kike kike tu haya mkuu uwalamuke ngani Click to expand... Bhoshi bhakukulamka sebho........; Then wewe unanifahamu sana tu/tufahamiane! Potezea endelea na ishu zako, forums huwa ziko that way, Ndio maana zipo nyingi ukinuna huku kule wacheka................!
lusungo said: mwaghona sewo.... hajanifanyia hapa ni kule kwenye jukwaa lingine la MMU anajifanya controller wa kila kitu nimechukia sana na kumsamehe siwezi mwanume anaendekeza tabia za kike kike tu haya mkuu uwalamuke ngani Click to expand... Bhoshi bhakukulamka sebho........; Then wewe unanifahamu sana tu/tufahamiane! Potezea endelea na ishu zako, forums huwa ziko that way, Ndio maana zipo nyingi ukinuna huku kule wacheka................!
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Feb 16, 2014 #2,330 lusungo said: teh teh teh amekasirika coz kaniimbisha mda mrefu nikawa namcheleweshea jibu.. Ghafla akatokea wa kumuimbia na yeye akaona bora akaimbiwe kuliko kumwimbia mtu lol Click to expand... Huwezi amini huyo mtu aliekuovetake ni Excel Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
lusungo said: teh teh teh amekasirika coz kaniimbisha mda mrefu nikawa namcheleweshea jibu.. Ghafla akatokea wa kumuimbia na yeye akaona bora akaimbiwe kuliko kumwimbia mtu lol Click to expand... Huwezi amini huyo mtu aliekuovetake ni Excel
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Feb 16, 2014 #2,331 Hahahahaaa! Eve unajua sasa hivi kuna baridi kali sana kino clain! Sasa unaposema nimeovatek afu niko mwenyewe hapa, thikuelewiiii! Tangulia jlw naja tuchanane! Evelyn Salt said: Huwezi amini huyo mtu aliekuovetake ni Excel Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Hahahahaaa! Eve unajua sasa hivi kuna baridi kali sana kino clain! Sasa unaposema nimeovatek afu niko mwenyewe hapa, thikuelewiiii! Tangulia jlw naja tuchanane! Evelyn Salt said: Huwezi amini huyo mtu aliekuovetake ni Excel Click to expand...
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Feb 16, 2014 #2,332 Si umeolewa we mwanamke? Mmh! Kaz tunayo! 'Valentina' said: Haya sasa Click to expand...
shansarie JF-Expert Member Joined May 25, 2013 Posts 5,690 Reaction score 3,370 Feb 16, 2014 #2,333 kiwatengu said: baby hivi kwani sijawahi kukuambia kuwa katika pita pita zangu niliwahi kukaa pale Mpwapwa na kufanya biashara ya mahindi ya kuchoma? ushasahau ujue.. Click to expand... Hiyo hujawahi kunambia asee mwanaume msiri wewe
kiwatengu said: baby hivi kwani sijawahi kukuambia kuwa katika pita pita zangu niliwahi kukaa pale Mpwapwa na kufanya biashara ya mahindi ya kuchoma? ushasahau ujue.. Click to expand... Hiyo hujawahi kunambia asee mwanaume msiri wewe
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Feb 16, 2014 #2,334 Excel said: Si umeolewa we mwanamke? Mmh! Kaz tunayo! Click to expand... Hiyo ndoa ulinifungisha wapi?
Excel said: Si umeolewa we mwanamke? Mmh! Kaz tunayo! Click to expand... Hiyo ndoa ulinifungisha wapi?
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Feb 16, 2014 #2,335 Jamani nani anasikia baridi?
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 14,683 Reaction score 20,460 Feb 16, 2014 #2,336 Bantu lady said: Jamani nani anasikia baridi? Click to expand... mimi hapaaa
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Feb 16, 2014 #2,337 uran said: mimi hapaaa Click to expand... Shemeji za asubuhi. Tatizo wewe ni shemeji yangu. Hatuwezi toana baridi.
uran said: mimi hapaaa Click to expand... Shemeji za asubuhi. Tatizo wewe ni shemeji yangu. Hatuwezi toana baridi.
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,884 Reaction score 952 Feb 16, 2014 #2,338 Bantu lady said: Jamani nani anasikia baridi? Click to expand... Ulijuaje Bantu lady kuwa baridi niliyonayo ni kali?
Bantu lady said: Jamani nani anasikia baridi? Click to expand... Ulijuaje Bantu lady kuwa baridi niliyonayo ni kali?
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Feb 16, 2014 #2,339 Bantu lady said: Shemeji za asubuhi. Tatizo wewe ni shemeji yangu. Hatuwezi toana baridi. Click to expand... Hee shogaa,mumeo hayupo?
Bantu lady said: Shemeji za asubuhi. Tatizo wewe ni shemeji yangu. Hatuwezi toana baridi. Click to expand... Hee shogaa,mumeo hayupo?
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Feb 16, 2014 #2,340 Fisherscom said: Ulijuaje Bantu lady kuwa baridi niliyonayo ni kali? Click to expand... Wee siku ile ulinikimbia leo nawewe kaa na baridi yako.
Fisherscom said: Ulijuaje Bantu lady kuwa baridi niliyonayo ni kali? Click to expand... Wee siku ile ulinikimbia leo nawewe kaa na baridi yako.