guru_observer
Senior Member
- Jan 25, 2020
- 171
- 295
- Thread starter
- #41
Nitajitahidi kufanya hivyoSafi sana mkuu, hii itanifaa sana. Jitahidini kuwa active tu, siyo leo channels zinaonekana kesho hazionekani!
Nitajitahidi kufanya hivyoSafi sana mkuu, hii itanifaa sana. Jitahidini kuwa active tu, siyo leo channels zinaonekana kesho hazionekani!
Akiwa nayo hapo atakuwa na uhakika wa app yake pamoja na matangazo yake kuendelea kuwepo playstore ila bila hivyo no...time will tellNa akishakuwa nayo wat next!?
Nakushauri nenda pitia policies za google vizuri then uone,maana wakiban account yako ndo permanentHapana, ukisoma privacy policy ya app yetu utajua namna tunavyopata hizo content.
"Unauthorized sites or software that capture, copy, or provide access to copyrighted content
Examples: Sites, software, or toolbars that enable unauthorized streaming, sharing, copying, or downloading of audio guides, e-books, anime, games, movies, mp3 ringtones, music, software, TV shows, works by independent artists, record labels, or other content creators
Mkuu una licence ya kuonesha hizo channel kwenye app yako ?
Ndugu hii app yako inabagua baadhi ya simu. Nina simu 2Nitajitahidi kufanya hivyo
Mkuu vip! Naona sikuhizi Azam tv, Wasafi tv, pamoja na super sport zote hamna kituKwa kitambo kirefu sikuwepo hapa jukwaani lakini nimerejea sasa na nitakuwepo hadi atakapopenda Mwenyezi, sasa nimewawekea application bora kwa streaming za channel za hapa nyumbani Tanzania. Ipate kutoka Google Play Store hapa Pure Entertainment - Apps on Google Play
Kupata channel za nyumbani bonyeza menu > Category > Live