Live streaming bora kwa channel za Tanzania

guru_observer mkuu unafanya mambo makubwa sana. Pamoja na kuwa tunachangia kwa ku download app yako na kuview ads mimi naomba weka hapa na namba yako ya simu angalau tuku support pia kwa hela ya bundle.

Naomba mjitahidi sana hizi channel za Super Sport ziwepo hata wakati league za Ulaya zonaanza.

Big Up sana kwa kazi nzuri.
 
Ahsante sana, bado tunajitahidi kufanya kila liwezekanalo kuhakikisha tunaboresha app hii na inakuwa inapatikana bila malipo kama ilivyo sasa. Pia, tutaboresha hivi karibuni na kuruhusu kupokea donation kutoka kwa wale watapenda ku-support kile tunachofanya.
 
Sawa mkuu mimi nimefurahishwa na kazi yenu.
 
App yenyewe ndio hii au?
Screenshot_20210709-221855.png
Screenshot_20210709-221921.png
Screenshot_20210709-221940.png
Screenshot_20210709-222040.png
 
Shida ma developer wa bongo huwa hamna cosistance leo channel zipo kesho hamna.
Channel ili ziwe active muda wote app kunahitajika maintenance, ila changamoto ni kwamba tunakuwa na mambo mengine pia ya kufanya kuhakikisha tunaendesha maisha, wengi tunafanya app development as passion, but currently zitakuwa stable kwa muda mrefu.
 
Kwa kitambo kirefu sikuwepo hapa jukwaani lakini nimerejea sasa na nitakuwepo hadi atakapopenda Mwenyezi, sasa nimewawekea application bora kwa streaming za channel za hapa nyumbani Tanzania. Ipate kutoka Google Play Store hapa Pure Entertainment - Apps on Google Play

Kupata channel za nyumbani bonyeza menu > Category > Live
Safi sana mkuu, hii itanifaa sana. Jitahidini kuwa active tu, siyo leo channels zinaonekana kesho hazionekani!
 
Channel ili ziwe active muda wote app kunahitajika maintenance, ila changamoto ni kwamba tunakuwa na mambo mengine pia ya kufanya kuhakikisha tunaendesha maisha, wengi tunafanya app development as passion, but currently zitakuwa stable kwa muda mrefu.

Sawa jitahidi mkuu, ili hata kama kuchangia tuchangie ili kupata kilicho bora. Application ipo poa ila tupate channel nyingine nyingi.
 
Acha uchawi
Hata sio uchawi mimi niliwahi kuwa na app kama hizo huku nikitegemea admob as source of income..kweli nilikuwa napata hela vizuri tu ila baadae account yangu ya admob ikawa suspended wakidai nina violate google policy ikiwemo kurusha contents za watu bila idhini yao....So atafute licence itakuwa poa ila without hivyo hilo ni janga
 
Sawa jitahidi mkuu, ili hata kama kuchangia tuchangie ili kupata kilicho bora. Application ipo poa ila tupate channel nyingine nyingi.
Tunaendelea kuboresha, mtumiaji atachangia kwa hiari yake pale ambapo tutakuwa tumeiboresha vya kutosha
 
Back
Top Bottom