Live Star TV: John Mnyika na Job Ndugai

Angalizo: Star TV ni mali ya Mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mwanza. Hata watangazaji HUENDA wakaegemea msimamo wa kisiasa wa bosi wao
 
mziki umeanza kwa job ndugai,amemwambia mnyika kuwa yeye sio mjumbe wa kamati .japo hyo haihusiani na kuwa mjumbe ama la,mnyika ametoa ushahidi kwa kuonesha hotuba ya tundu lisu,
 
Naelewa na Mimi Namjibu huyo Ndugai!

Poa mkuu, nadhani tutaenda vizuri sasa, umemsikia Job anasema kuwa Mnyika hawezi kuisemea kamati yoyote hasa ya sheria kwa sababu yeye sio mjumbe, kaenda mara mbili au tatu hazitoshi yeye kufanya hitimisho... its getting interesting!
 
Nipo namuangalia Job Ngugai aka kiboko wa chadema.
Maada. Vurugu bungeni ni kupwaya kwa sheria/kazini?

Job Ndugai kiboko wa CHADEMA? Umepotoka! Huyo anapata memo na kufuata alichoambiwa na wenye chama tu. YATAPITA.
 
Ndugai asifikiri hapo studio ni bungeni! Yeye aseme ukweli!
 
Ngugai mbona anamuingilia Mnyika? Alafu naona ata mtangazaji anampa muda mdogo Mnyika! Alafu Ndugai Kama amepanic vile!?
 
Mnyika; mwenyekiti wa bunge alisema uongo kuwa wazanzibari hawakushirikishwa.
Job; mimi sio mjumbe wa kamati yeyote kwa hiyo siwezi kuisekea, kamati yoyote... getting hooooot!
 
Huyu ndugai na kamera zake bwana,hajui hata kwa nini maoni ya ccm yalikataliwa na warioba?anasema yeye anachojua chama chochote cha siasa kinawalilisha wananchi wote.
 
Jamaana etu ndugai hataki mnyika aongee hata

Si anafanya Kama bungeni kiwanyamazisha wapinzani kwa nguvu! Yeye hafai tu na kwenye katiba ijayo tunataka spika asiwe na chama hapo ndo usawa utakuwepo!
 
Kweli ndugai fujo ndio jadi yake, hata hapa kwy kipindi anaanza fujo kwa kumkatisha katisha Mnyika na kupanic.
 
Job anakwambia alijua Lissu anadanganya lakini akamwacha tu sababu alikuwa anatafuta umaarufu mbele ya camera.it kiongozi mkubwa wa muhimili kama bunge unaacha watu waseme uongo kweli?. Haiingii akilini.
 
Back
Top Bottom