Live Star TV: John Mnyika na Job Ndugai

Live Star TV: John Mnyika na Job Ndugai

Ndugai amebanwa sana! Sintoshangaa akianzisha vurugu ili kipindi kikatishwe.
 
Job atakuwa hayupo sawa.
Yaani matatizo yooote yale ndani ya bunge,eti chanzo chake ni uwepo wa kamera tuu!Hii akili hata mtoto aliyefaulu kwa msaada wa marekebisho ya matokeo ya mwaka jana,hawezi fikiria hivyo.!
 
Jamani ni nani ana namba ya huyu Ivona Kamuntu

Huyu Kamutu na yeye asilete Usanii asome huo ujumbe wote asicheke cheke tu! Na Hao wachangiaji wa ujumbe wengi wamekilaumu kiti!
 
Ndugai ni janga pamoja na ccm wote na walikuwa wanataka bunge lisiwe live ili wafanye madudu yao.
 
Mnyika ametulia ata anavyoongea anaongea kwa kujiamini na uhakika wakile anachosema!
 
Mnyika...the boy is good upstairs...a good product from FRASEMA.!
 
Mwangalieni huyo kilaza asije akaanzisha fujo make amebanwa sana na huyo dogo hadi namuonea huruma
 
Kwanini TBC1 wasilushe vipindi Kama hivi? Tbc1 Majanga!
TBCCM hawawezi kurusha kipindi ambacho ni wazi Mzazi wake kupitia Kilaza ****** anaaibika "live"
 
Tatizo moja la wapinzani ni kuvamia hoja wakati mwenzake anaongea.
 
Kumbe haya magamba dawa yake MIDAHARO tu,Yani ni koroma kabisa haya jamaa.
 
Wenzio akina nape wanakimbia we ndugai unajitosa kweli una cha kuwaeleza watanzania?
 
Ukweli ni kwamba...... Kiti kina matatizo sana ////
 
Tatizo moja la wapinzani ni kuvamia hoja wakati mwenzake anaongea.
So unamaanisha ****** Ni mpinzani maana naona ndo anaintervene kila wakati Mnyika anapoongea. Mwambieni apunguze jazba. Anatubore sana huyu ki....l...a.....z
 
Kwanini vurugu zimeongezeka wakati huu kukiwa na wabunge wengi wa chadema? Tunasubiri majibu ya Mnyika.
mbona jibu lipo wazi! wabunge wa chadema hawaitaji kuburuzwa kijingajinga, mambo ya zidumu sera za mwenyekiti hata kama mbovu chadema hawakubali? na mtu anaejitambua anapaswa kuwa hivyo
 
Back
Top Bottom