Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

Status
Not open for further replies.
View attachment 105205

1:00 USIKU leo alhamisi Usikose kuangalia kipindi kipya kabisa cha UZALENDO kikuhusu mambo yanayojiri katika medani ya siasa nchini na waalikwa wakiwa wanasiasa kutoka vyama tofauti wakichambua hoja mbalimbali kuhusiana na hali inavyoendelea nchini.Katika kipindi cha leo tutakuwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bwana Philp Mangula na Katibu Mkuu wa Chadema,Dk.Wilbroad Slaa
Saa 1 usiku mpaka saa ngapi?
 
Channel ambayo nape mwandosya aliendaga kumwakilisha ndovu lagar na daktar akasema nape mwandosya sio size yake. Hata leo ndovu lagar amesepa badala yake yupo mangula a.k.a mtu pori a.k.a mshamba
 
Wakuu hicho ni kipindi kipya kitakuwa kinarushwa kila Alhamisi kupitia ITV.

Kwa kuanzia leo kitakuwa hewani na Dr.Slaa na Mangula watakuwepo.
Please wadau wote mnakaribishwa kutazama na wengine kuleta updates hapa hapa JF.

Mods kama hii taarifa ni sahihi basi neno ITV liongezwe kwenye heading (title ya hii thread)
 
amakyasya; Bila shaka mleta mada alighafirika kidogo,lakini ni mtu mzuri sana.
 
Last edited by a moderator:
slaa anafaa kukutana na mwigulu nchemba! mangula ongea yake imekaa kistaarabu sana. slaa hana ustaarabu. anafaa mtu mwenye pini za nguvu kama nchemba
 
Duh..Hapo tu ndipo ninapoipenda JF ukikurupuka wanamfunga paka kengele moja kwa moja!
 
Wakuu hicho ni kipindi kipya kitakuwa kinarushwa kila Alhamisi kupitia ITV.

Kwa kuanzia leo kitakuwa hewani na Dr.Slaa na Mangula watakuwepo.
Please wadau wote mnakaribishwa kutazama na wengine kuleta updates hapa hapa JF.

Ni kipindi kizuri lakini mmechemsha kuanza na Kanjanja wa Udokta.
 
slaa anafaa kukutana na mwigulu nchemba! mangula ongea yake imekaa kistaarabu sana. slaa hana ustaarabu. anafaa mtu mwenye pini za nguvu kama nchemba
..umeanza kuogopa,mlipokuwa mnampa madaraka hamkuyajua hayo,,??? koroshodani zako...
 
Mods kama hii taarifa ni sahihi basi neno ITV liongezwe kwenye heading (title ya hii thread)

...afadhali Dr akateme sumu, nilikuwa namaindi sana yule dogo semunyu maana hawaalikagi viongozi wa vyama, kakomaa na mawaziri na spika tu, sijui ametumwa yule dogo...???
 
..umeanza kuogopa,mlipokuwa mnampa madaraka hamkuyajua hayo,,??? koroshodani zako...

mangula ni mzuri kwa mipango na mikakati upande wa utawala. majibizano ya kumfanya slaa aheme, hayawezi. slaa naye mijadala haiwezi vizuri. ni kama mbowe. wanaweza uongo wa majukwaani. studio hakuna propaganda kama za jukwaani
 
amakyasya; Bila shaka mleta mada alighafirika kidogo,lakini ni mtu mzuri sana.

Mkuu nimekuelewa nashukuru kwa taarifa na nimeipokea vizuri. Nakukubali sana mkuu nimeona coments zako nyingi zimetulia sana. Tuko pamoja kwa mustakabali wa taifa letu mpaka liwe kwenye mstari unaotakiwa, sote tunatakiwa kushirikiana kutokomeza mauchafu yote yanayoiharibu nchi yetu.
 
mangula ni mzuri kwa mipango na mikakati upande wa utawala. majibizano ya kumfanya slaa aheme, hayawezi. slaa naye mijadala haiwezi vizuri. ni kama mbowe. wanaweza uongo wa majukwaani. studio hakuna propaganda kama za jukwaani

...mkuuu scramble acha kumuaibisha mwenyekiti wako bhana, kumbuka mdahalo wa 2010 alisepa,kila juhudi za kumshawishi akae meza moja na Dr zikashindikana maana angekubali tu angegonga pua chini tu....teh teheee..
 
Last edited by a moderator:
...mkuuu scramble acha kumuaibisha mwenyekiti wako bhana, kumbuka mdahalo wa 2010 alisepa,kila juhudi za kumshawishi akae meza moja na Dr zikashindikana maana angekubali tu angegonga pua chini tu....teh teheee..

siyo kwamba namuaibisha. naamini atachangia vizuri kwa sbb ni mzoefu wa siasa lkn namkubali zaidi upande wa mikakati ya kiutawala.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom