Live Kutoka Karimjee Hall: Kumuaga Bob Makani

Watu wanakosea sana wanapoanza kupiga siasa kwenye misiba! anyway,labda kwa kivuli cha utani wa jadi otherwise, sikutegemea watu waanze kupeana propaganda msibani!

R.I.P Mzee wetu, sote twapita duniani kwa zamu!!
 
Heshima za Bob Makani zimeattract very high profile attendence,
1. Rais wa nchi
2. Makamo wa rais
3. Makamo wa SUK -ZNZ,
4. Mawaziri,
5. Wabunge
6. Wakuu wa vyama na wanasiasa.
7. Wafanya biashara wakubwa mashuhuri!.
8. Viongozi wakuu wa kitaifa wastaafu.
9. Wakuu wa taasisi mbalimbali
10. Wananchi wa kawaida akina sisi na wewe !.

RIP Bob Makani.

Mbona hata msiba wa Kanumba hao wote walikuwepo...iwe nyumbani kwake au pale kwenye viwanja vya Lidaz....so what's the big deal Pasco?
 
ifike wakati tuambizane ukweli,wana chadema kumsifia makani ni unafiki na uzandiki mkubwa,makani alitelekezwa na chama licha ya kukifanyia mazuri chama.chadema ni wabaguzi na ni wanafiki tu,huyu bwana angekuwa mchaga chadema ingemtelekeza? Chadema ina wenyewe na wenyewe ni wachaga ndio wanaokifaidi chama.Msukuma huyu jaman alitelekezwa licha ya kujitoa kutumikia chama,bora chadema kife maana tunakoelekea kubaya,Rwanda ya 1994 itakuwa cha mtoto,ni ubaguz na ukabila wa wazi wazi kabisa.
huu ni simply ulevi mwingine...... nakumbuka wakati wa msiba wa waziri mkuu SOKOINE nilikuwa kijana wa darasa la nne.... nilijifunza mengi kuhusu tanzania na sokoine pale lilipotoka jarida maalumu kuhusiana na sokoine.....maisha yake.....falsafa zake....na utendaji wake......... pia alipofariki samora machel....hivyo hivyo.... japo si wakati wa siasa nadhani kuna haja ya kutoa jarida kuhusu maisha ya bob makani.....tutalinunua na kujenga chama chetu na uzaaalendo wetu....
 
Zitto Kabwe siku ya pili jeans hilo subiri ukienda matembezini. Kwenye msiba wa kukaa kiti cha mbele lipumzishe.
 
Funguka zaidi mkuu alitaka kupotosha nini??

Ametoa sifa ambazo si za kweli kwa marehemu kwamba alikua ni miongoni mwa waasisi tisa wa chadema aliyetoka ukanda tofauti..... ukweli ukatolewa na mh Mbowe akiwataja baadhi na majina na mikoa waliyotokea.
1. ni zaidi ya tisa
2. walitoka mikoa mingi tofauti tofauti amewataja wengi mf; Gwilulupi na Kabigi kutoka Mby kulikuwa na wengine kutoka Rukwa Mtwara Tabora, arusha, kagera, iringa nk nk sijashika wote but ilikuwa ni mchanganyiko
Ilikuwa ni kusahihisha tu kilichotangulia ili kisije kikapotosha umma.
 
ifike wakati tuambizane ukweli,wana chadema kumsifia makani ni unafiki na uzandiki mkubwa,makani alitelekezwa na chama licha ya kukifanyia mazuri chama.chadema ni wabaguzi na ni wanafiki tu,huyu bwana angekuwa mchaga chadema ingemtelekeza? Chadema ina wenyewe na wenyewe ni wachaga ndio wanaokifaidi chama.Msukuma huyu jaman alitelekezwa licha ya kujitoa kutumikia chama,bora chadema kife maana tunakoelekea kubaya,Rwanda ya 1994 itakuwa cha mtoto,ni ubaguz na ukabila wa wazi wazi kabisa.
We kweli akilizako ndogo kama jinalako!
 
Na JK anatafuta nini hapo kama sio kupiga siasa?
JK ni mtu wa watu na ni mtu mwenye huruma sana na anaejali sana!. Ukiondoa udhaifu wake as weak president, kwenye PR ni 100%!.

Kuwa wakati tuliweka mjadala humu tusipoliticise misiba, msibani ni mahali pa maombolezo lakini kwa sababu wanene wote walikuwepo, mkuu wa nchi na top brass ya wajumbe wa tume ya kukusanya maoni, Mk wa Cdm Mhe. Freeman Mbowe, saw an apportunity na akaigrab kufikisha ujumbe mzito loud and clear!.

JK alipopata nafasi ya kuzungumza, yeye alitoa tuu pole!. No politics!. Ule ni ustaarabu mkubwa sana na kama kawaida JK hakuacha kutumia his good sense of humour kuhakikisha watu wanacheka just to put them at easy na msiba mkubwa huu!.
 
mkuu pasco kati ya watu niliowaona hawana misimamo ni wewe,mara kikwete hamtaki lowassa,mara kiwete hafai kuongoza,mara kikwete ni mtu wa watu,sasa unasimamia wapi mbona hueleweki????au ulisharudi kambi ya mkweree????ukipewa uongozi nchi hii utatusumbuwa sana wee jamaa
 
Huu ndio unafiki unaonipa kichefu chefu.
Jana nilianzisha sredi jinsi CDM ilivomsahau mzee Makani kiasi hata cha kulitelekeza gari lake pale nyumbani kwake likiwa na pancha.
JF Mods wameitoa sredi hiyo.
Leo mnamsifia na kumuenzi kwa maneno matupu, huu ni ulaghai mkubwa usio na kifani.

masopakyindi, unamfahamu vipi Marehemu Mzee Makani? Unazijua mali zake zote, magari yake yote? Kuona gari kuukuu nyumbani ndiko kunakofunya uone kwamab Mzee Makani alihitaji kuangaliwa kama matonya? Nakusihi usimvunjie hemsha marehemu.
 
JK ni mtu wa watu na ni mtu mwenye huruma sana na anaejali sana!. Ukiondoa udhaifu wake as weak president, kwenye PR ni 100%!.

Kuwa wakati tuliweka mjadala humu tusipoliticise misiba, msibani ni mahali pa maombolezo lakini kwa sababu wanene wote walikuwepo, mkuu wa nchi na top brass ya wajumbe wa tume ya kukusanya maoni, Mk wa Cdm Mhe. Freeman Mbowe, saw an apportunity na akaigrab kufikisha ujumbe mzito loud and clear!.

JK alipopata nafasi ya kuzungumza, yeye alitoa tuu pole!. No politics!. Ule ni ustaarabu mkubwa sana na kama kawaida JK hakuacha kutumia his good sense of humour kuhakikisha watu wanacheka just to put them at easy na msiba mkubwa huu!.

Acha double standards mbona humtaji Mkama??

Yani wewe jamaa huwa hueleweki moto ama baridi!

Watu kama wewe ni wa kuogopwa sana!

You are nothing but a penny wise and a pound foolish!
 
Huu ndio unafiki unaonipa kichefu chefu.
Jana nilianzisha sredi jinsi CDM ilivomsahau mzee Makani kiasi hata cha kulitelekeza gari lake pale nyumbani kwake likiwa na pancha.
JF Mods wameitoa sredi hiyo.
Leo mnamsifia na kumuenzi kwa maneno matupu, huu ni ulaghai mkubwa usio na kifani.
Ulitka uongo wako uendelee kuvumiliwa hapa? wewe ninani ulete malalamiko yake hapa?
 
SAM_2537.JPG

SAM_2541.JPG

SAM_2545.JPG

SAM_2547.JPG

SAM_2548.JPG

SAM_2550.JPG

SAM_2551.JPG

SAM_2552.JPG

SAM_2553.JPG
 
Back
Top Bottom