Live kutoka Benjamin Mkapa Stadium usahili wa NEC

Live kutoka Benjamin Mkapa Stadium usahili wa NEC

Huyo aliye itisha 'intaviyuu' atatumbuliwa, maana ameidhalilisha NCHI na kuwafumbua macho Watanzania, wakati tumetengeneza ajira za kutosha kwa miaka mitano(5).
 
Nouma sana. Sasa waza hawa watu wakiwa wazee wataudumiwa na nani?

Bado ujawaza wale wanaowahudumua hawa vijana kwa sasa wakizeeka watahudumiwa vipi na hawa vijana?

Tukikimbia nyumbani wazee mtuelewe
 
zile nafasi ukizihesabu wanahaitajika kama buku saba ivi
 
Kumeendeleaje huko kwa mkapa kwa waliofankiwa
 
Aisee maisha ni magumu [emoji23][emoji23]
 
Mbona hazibadiliki? Mwaka 1995 nilisimamia uchaguzi katika kituo cha kupigia kura. Malipo yalikuwa hayo hayo! Hali ni mbaya. Inaonekana hawa wote ni wategemezi - kwa wazazi, mashemeji nk. Cha ajabu utakuta 2/3 ya hao wana-support CCM. Ndio maana watu wengine hawawaonei huruma.
95 ulilipwa 30k duh
 
Back
Top Bottom