vipik2
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,853
- 2,272
wangechukua vijana waliopita JKT au waliopo JKT tu kupunguza mlolongo
Nafikiri fikra zako zilizingatiwa mapema kabla wewe hujafikiria hivyo
wangechukua vijana waliopita JKT au waliopo JKT tu kupunguza mlolongo
Mkuu hapo kwenye karani sijajua ni jimbo gani.Msimamizi wa kituo jumla 105000, wasimamizi 1 na2 95000, karani 75000 kama sijakosea
Nchi yenye uchumi wa kati
Ukisema baruti unakuwa umedhulumu uhalisia, sema n bomu la machozDuuh jana Ubungo/Kibamba mpaka baruti zilipigwa kutawanya watu
Mkuu hapo nimechanganya kidogo posho karani mwongozaji ni 30,000 kwa siku moja na 15,000 ya chakula. Jumla elfu 45,000Ulisoma vibaya, hivyo viwango ni vya Msimamizi mkuu, Msimamizi msaidizi na Karani mwongozaji respectively per day, ila watalipwa kwa siku 2, 35x2=70, 20x2=40, 15x2=30.
Ajira za miaka 5 iliyopita, nakwambia hata wakisema wanatafuta wazibua vyoo, uwanja utajaa vijana zaidi ya hao unao waona.Sio poa
Ubungo na kibamba walijaa mpaka bomu la machoz likapigwa lkn idadi ya hapo mkapa naona imezidAjira za miaka 5 iliyopita, nakwambia hata wakisema wanatafuta wazibua vyoo, uwanja utajaa vijana zaidi ya hao unao waona.
Kwa hiyo wewe ulitaka wasupport chama gani ili muwaonee huruma?Mbona hazibadiliki? Mwaka 1995 nilisimamia uchaguzi katika kituo cha kupigia kura. Malipo yalikuwa hayo hayo! Hali ni mbaya. Inaonekana hawa wote ni wategemezi - kwa wazazi, mashemeji nk. Cha ajabu utakuta 2/3 ya hao wana-support CCM. Ndio maana watu wengine hawawaonei huruma.
Ni kweli kabisa usemayo,vijana tunatakiwa tukatende haki katika kusimamia huu uchaguzi kwani hali ya mtaani ndio kama mnavyoionaMbona hazibadiliki? Mwaka 1995 nilisimamia uchaguzi katika kituo cha kupigia kura. Malipo yalikuwa hayo hayo! Hali ni mbaya. Inaonekana hawa wote ni wategemezi - kwa wazazi, mashemeji nk. Cha ajabu utakuta 2/3 ya hao wana-support CCM. Ndio maana watu wengine hawawaonei huruma.
Amina.Duh Mola mguse kila kijana anayetafta kazi, hali sio nzuri.
inaonyesha Vile viwanda 3000 vya CCM vimesimamisha uzalishaji, haiwezekani vijana wote hao, tena naambiwa wengi wana Master degree alafu hawana ajira, na wengi wametokea nyumbani kufik hapo.Ubungo na kibamba walijaa mpaka bomu la machoz likapigwa lkn idadi ya hapo mkapa naona imezid
Upinzani wowote ilimradi kuondoa chama kilichoshindwa kwa miaka 55 kumkomboa mtanzania.Kwa hiyo wewe ulitaka wasupport chama gani ili muwaonee huruma?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usikute NEC nao wanajihesabu ni kiwanda
Hivi lisu ameahidi ajira tumpe kura?Iliyojenga viwanda 8,477 na kucreate ajira zaidi ya milioni 6 tangu 2015.
Nchi yenye uchumi wa kati