moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,940
Hao ni vijana wote ambao hawana ajira mtaani na hapo ni wilaya ya temeke tu hebu Fikiria nchi nzima hali ikoje ?Duuh
15k na 35kHivi wanalipa sh ngapi per day maana naona watu wametokwa na mimacho hiyo
#Habaripicha Kutoka Benjamin Mkapa Stadium ndan na nje ya uwanja, Umati wa watu walioomba kusimamia uchaguzi Mkuu Oct 28, wakisubiri kufanyiwa usaili katika wilaya ya Temeke DSM.
Ajira na ugumu wake...#Habaripicha Kutoka Benjamin Mkapa Stadium ndan na nje ya uwanja, Umati wa watu walioomba kusimamia uchaguzi Mkuu Oct 28, wakisubiri kufanyiwa usaili katika wilaya ya Temeke DSM.
Nafasi ya juu ni 35k, 20k na 15k kwa siku kwa muda wa siku mbili.Hivi wanalipa sh ngapi per day maana naona watu wametokwa na mimacho hiyo
Kuna mshahara na hongo za wagombea uki +Hivi wanalipa sh ngapi per day maana naona watu wametokwa na mimacho hiyo
Kwa hio foleni yote hioooooo atakayepata pesa ndefu ni elfu 70 kwa hizo siku 2 na ataepata pesa ndogo kabisa ni elfu 30 kwa hizo siku 2 sio?Nafasi ya juu ni 35k, 20k na 15k per two days.
Nafasi ya kati ni 30k, 20k na 15k per two days.
Nafasi ya chini ni 30k na 15k per one day.
Amen mkuu.Duh Mola mguse kila kijana anayetafta kazi, Hali sio nzuri
Msimamizi wa kituo jumla 105000, wasimamizi 1 na2 95000, karani 75000 kama sijakoseaHivi wanalipa sh ngapi per day maana naona watu wametokwa na mimacho hiyo
Hali si nzuri kwakweli 🤔 sikufikia kama wangekua wengi hivo aisee.Hao ni vijana wote ambao hawana ajira mtaani na hapo ni wilaya ya temeke tu hebu Fikiria nchi nzima hali ikoje ?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Nafasi ya juu ni 35k, 20k na 15k per two days.
Nafasi ya kati ni 30k, 20k na 15k per two days.
Nafasi ya chini ni 30k na 15k per one day.
noma sana mkuuhahahahaha