Live kutoka Benjamin Mkapa Stadium usahili wa NEC

Live kutoka Benjamin Mkapa Stadium usahili wa NEC

mwaka huu Magufuli atashinda kwa zadi ya 90%
Watanzania wenzangu tumpe heshima JPM ifakapo October 28 mapemaa tukapige kura kumpa heshima RAIS wetu Mpendwa JPM
 
Bia yetu ninaposema mmekwisha ccm ndivyo navyomaanisha...angalia vijana hao wanapanga foleni kugombania nafasi ya kazi ya siku 2 tu
 
Mimi ni CCM kindakindaki lakini ni muwazi sana ,kuna maeneo kwenye hii miaka mitano CCM tumefanya vizuri sana kuna maeneo hatujafanya vizuri.

Kifupi kwenye suala LA ajira kwa vijana ni moja ya eneo ambalo ndani ya miaka mitano hatuja perform vizuri na naamini ndugu Magufuli akirudi atalikazia kwenye miaka mitano yake ya mwisho

Hatujaweka mazingira wezeshi kwa ajili ya kufanya vijana waajiriwe au kujiajiri nk
 
Back
Top Bottom