Live kutoka Arusha: Operesheni chakaza CCM (mkutano)

chadema na nyinyi mmechoka sasa yaani bila ccm hamuwezi kufanya siasa? mbona mnafuatilia sana mambo ya ccm? hv ushupavu wenu mpaka muone ya ccm? huo cyo upinzani badlikeni mm naiona cdm watakuja kuwa ndo majizi makubwa ya nchi hii haijapata kutokea .

Mbona unaongea kinyume!???
 
Ccm wanajidanganya wenyewe kwanini wanasomba watu wangetaka kujua joto la ar wasingewatoa watu kila wilaya ya arusha.
 
Kwa kweli nchi hii hili bomu la vijana la kutokua na ajira limekua bomu kubwa kweli kweli

yan ndani ya masaa mawili wamepatikana vijana wote hao??

Kweli watu wamekata tamaa,na ccm kweli imewafanya waish maisha ya labda labda sana
 
Siasa iendelee na amani idumishwe ili tusikie mengi zaidi. WanaArusha kazi kwenu.
 
Kweli mapipo mnajua kujifariji!. Inshort watu waliohudhuria hata 500 hawafiki. Anayebisha aweke picha halisi(siyo photoshop) kupinga kauli yangu.

mama yangu mfu anataka kufufukia chadema makubwa!HAPO SAWA!
 
lema anajilinganisha na kinana kwa akili ipi? lema ni sawa na nguo ya ndani bik..n
Wewe utakuwa nyumba ndogo ya Kinana si bure. Lema ni kiongozi mpigania haki na ukombozi wa Watanzania, Kinana ni fisadi na mwizi wa Nyara za serikali (PEMBE ZA NDOVU) kwa hiyo huwezi kuwalinganisha, Halafu Lema ni Mtanzania mzawa ndani ya Taifa hili wakati Kinana ni mzaliwa wa Somalia (AL- SHABAB)
 
Kama Lema ni sawa na bikini ya Kinana, basi Kinana ni K.

Hahaha!haha! Mkuu umeniacha hoi sana nakupa Mia Mia mkuu dah! Yani nimecheka hadi hamna kwa hili jibu kama atarudia tena itabidi kichwa chake kipimwe!
 
hiyo ndo inaitwa chain reaction, chadema wala haitaji kutumia nguvu nyingi sana kupindukia, mapipo knows mbivu na mbichi!! ccm ni takataka tu, gari bovu silo na dereva, inabidi kupingwa kuliko ukimwi!!
 
lema anajilinganisha na kinana kwa akili ipi? lema ni sawa na nguo ya ndani bik..n

Haujielewi.... Lema has never been my model politician, however, you language does not picture him correctly. You seems to be some sort of illiterate goon. what is "mlengo wa kati? Nilidhania ni Mrengo wa Kati.... damn it !
 
Back
Top Bottom