Live kutoka Arusha: Operesheni chakaza CCM (mkutano)

Live kutoka Arusha: Operesheni chakaza CCM (mkutano)

Duh! I missed it. Jana sikuwa maeneo ya town lazima ningehudhuria. Ila huwa nawaaminia watu wa Arusha manake kila ikitajwa CHADEMA tu watu huwa wanasahau shida zao kwa muda na kuitikia wito. I LOVE A-CITY & HER PEOPLE.
 
Wale vijana walioendesha pikipiki siku ile kwenda kuwapokea hawa mabaka uchumi wachapwe bakora!!!
 
Wewe utakuwa nyumba ndogo ya Kinana si bure. Lema ni kiongozi mpigania haki na ukombozi wa Watanzania, Kinana ni fisadi na mwizi wa Nyara za serikali (PEMBE ZA NDOVU) kwa hiyo huwezi kuwalinganisha, Halafu Lema ni Mtanzania mzawa ndani ya Taifa hili wakati Kinana ni mzaliwa wa Somalia (AL- SHABAB)

Samahani mkuu wangu na penda kuongezea kidogo hapo.Mnamo mwaka 1995 walisema kinana si Raia wa Nchi hii,iweje leo hii Raia wa somaliland awe mjumbe wa nec kisha katibu mkuu wa ccm?.
 
Godbless Lema sio mbunge lakini umati anaokusanya unatisha Je angekuwa bado mbunge ingekuwa hatari.
 
Watu wa Arusha msijisahau sana kwenye huo mkutano pia kumbukeni kulinda Tembo maana sasa senior poacher amekabidhiwa rungu aue tembo wengi ili ipatikane pesa ya kampeni 2015 kwa magamba!!
 
bravo makamanda wa Arusha,kwakuachana na ccm kwani ccm ni mzigo kwa taifa.
 
Mbona mkutano unaonekana kama ni Ulokole ulokole vile? na mchungaji mbona haonekani? vilema na wagonjwa wa ngapi wamepona kwa jina la Bwana?
 
Haujielewi.... Lema has never been my model politician, however, you language does not picture him correctly. You seems to be some sort of illiterate goon. what is "mlengo wa kati? Nilidhania ni Mrengo wa Kati.... damn it !

Goood "mlengo wa kati upi hapo" idiot
 
chadema na nyinyi mmechoka sasa yaani bila ccm hamuwezi kufanya siasa? mbona mnafuatilia sana mambo ya ccm? hv ushupavu wenu mpaka muone ya ccm? huo cyo upinzani badlikeni mm naiona cdm watakuja kuwa ndo majizi makubwa ya nchi hii haijapata kutokea .

Jinga kubwa!!! ungeona maandamano waliyofanya CCM kuelekea Stadium kumpokea mtaalam wa kuwaliza tembo tusks au Mzee Tuskers ungelia machozi. Nilifikiri ni siku ya wazee kwani kwenye maandamano walikuwepo wazee waliochoka na akina mama ambao asilimia 99 ni mabaa medi wastaafu. Watu wenye akili walikuwa wanashangaa kana kwamba wameona kitu kisicho cha kawaida mf. Mashoga wakiandamana uchi.

Cha ajabu nilikutana na vi hiace vilivyochoka vikiwa vimejaza watu na kwa mbele ikininginia bendera ya kijani mithili ya akina mama wanaokwenda kitchen party au send off.

Lowassa naye akamwaga watu toka Monduli, Kinana akaleta kutoka msikiti wa bondeni na maeneo ya uswahili mara uwanja ukajaa. Kama kuna waliokuja kwa hiari yao hawazidi 100.
 
Moto wakuotea mbali..
Hii chama ni Kwere naniii..
Mtu nyomi
 
Cdm kwa kijifariji hamjambo..ila ukweli cdm ndo inaelekea shimoni kwa kasi mbya
 
Cdm kwa kijifariji hamjambo..ila ukweli cdm ndo inaelekea shimoni kwa kasi mbya

Mi huwa najiuliza hivi hawa watu wasiposhinda
hiyo 2015 sijui watafanya nini,wanajidanganya kwa hao wabunge 40 bungeni kama watashinda.
 
Back
Top Bottom