Live Interview: Zari All White Party - Clouds Tv/Radio

Live Interview: Zari All White Party - Clouds Tv/Radio

AHahaha ni shidaaa leo, watu lazima wajiozeshe unadhan mchezo mxiuuuu, watu wamepagawa mpaka wanavaa shela mxiuuuu

Yaan naona njini kote ni zari tuuuuuuuuuu kiruuuuu
 
Huyu mdada mbunifu sana,anajua kutumia fursa ili apate pesa,hawa dadazetu akina Wema/Wolper na wengineo wana cha kujifunza kutoka kwa huyu anayeitwa bi Zari..
 
Leo lazima tujitambulishe mlimani aseeh, maana tutakavyotokelezea, tunaingia km couple leo ni shidaa, aunty Ezekiel asipojifungua leo hjifungui tena

Ha haaaaa uwiiii Anti asije akajifungua kweli kabla ya siku zake maana ni hataaaaari.
 
This is direct name calling na upotoshaji. Am not the person you're referring to.

Jiepushe na name calling in future.

Hata sikujua kuna such a thing
Teheheje, sikua nania kabisa ya kucomment humu, ila nimevutiwa na utetezi wako yakua "hata sikujua kuna such a thing"
Cc: Mike mushi
 
Last edited by a moderator:
Nilihama tangu siku aliyopewa BMW na babu nikahamia kwa Chibu Dangote haaaaa haaaaa haaaaaa chibu ndo mpango mzima wema hana mpango

Weraaaaaaaaaaaaaaa weraaaa karibuuuuu
 
watangazaji wa cloudsfm sauti zina wabeba sana but appearance ni 0 hando anaonekana kama mlevi wa pombe kali,babra nae duuh mazoezi muhimu!!

Teh Teh hakika Jf ni kiboko umenichekesha sana mkuu! Lakini Clouds wana upungufu mkubwa wa watangazaji wenye uwezo wa kutangaza kwenye tv!
 
hii lugha bana ilikuja na meli, pia huyu jamaa hando ni mjanja nyuma ya camera, na OB , Namaanisha OUTSIDE BROADCASTING ni poor, pia walikosea kuwepo hapo, wapo wapo tu, wamepoa Kama maji mtunginj, ni Mara 100% wangewapa wale jamaa zao wa XXL wakae hapo wafanye interview, kina hando wamezoa masuala ya siasa, ndo maaana hata maswali yao ya ....?, haya kichwa wala miguu, Hando anajua akiwa nyuma ya camera tu, English daaah? hii lugha bana, bora hata wangemuita yule wa nirvana lotus afanye interview kwa ajili ya kumhoji Zari,

Hata wangewapa hao vijana bado kunge pwaya maana kutangaza mbele ya camera kuna hitaji uzoefu sana....
 
Zari kasema sababu moja pia ya kuvutiwa na Diamond ni HE IS VERY VERY INTELLIGENT.

HE IS VERY VERY INTELLIGENT

HE IS VERY VERY INTELLIGENT

I think she is right. Huyu mtoto ametoka kuuza mitumba, hana elimu ya kutosha lakini he has worked so hard to get where he is now. He couldnt have been stupid. Big up to her for seeing potential in his talent, unlike some.
 
Kwa hizo promo na uhalisia. Clouz washanunua hii show. Nawakubali sana wazee wa burudani. Hapo Dmond na Team yake wanawakikisha tuu washatia chao mfukoni.

Salute wataalam wa burudani.
 
Hivi wewe kijana kila aliyepo hapa JF unahisi ni mtu mdogo kama le mutuz hahaha kwa taarifa yako Le ni kijana sana kwangu kwa kuingia sehemu yeyote.

Mwambie mkuu,tatzo baadhi mitoto ya humu ndani inakariri likiwemo hlo laki si pesa,
 
Hivi Mange Kimambi na U turn mbona kimya sana? Anvyomchukia Zari, I cant wait for her to start rubbishing Zari about this party. It is about time they learnt that ushabiki wa mapenzi hauna faida. Chibu was going to date someone, asingekuwa Zari angekuwa mwingine.
 
Mmh... kumbe huyo Zari hata sio mzuri kihivyo...
Vivumishi vilizidi.
Halafu mmama.

Si kuna ule wimbo wa dai anaimba vijana wa sasa kwenye mapenz wanasumbua sa kapata mmama asimsumbue wazeeke.pamoja
 
Tena mwambie atume akiwa ameshazaa watoto watatu tumuone anafananaje na kama kijana wa miaka 25 anaweza kumtongoza.

Well said thanks, tena anadiriki kusema mmama as if ni tusi! Hajui kuwa zari yuko very proud kuwa mama! And she is far beautiful compared to her though i don't know 'her'
 
Back
Top Bottom