Live Interview: Zari All White Party - Clouds Tv/Radio

Live Interview: Zari All White Party - Clouds Tv/Radio

Built On Self Success. Leo si ndio tarehe 1 May 2015. Kimenuka
 
Matangazo yanakata-kata kwa tunaotumia king'amuzi cha Azam, kulikoni?
 
Thread 3 JF zote zinazungumzia Interview hii ya Diamond na Zali

Wao wenyewe wanampa promo bila kujijua.. Hahaa..mngemuacha tu domo afanye yake na sisi tufanye yetu, mnapoteza muda bure.
 
JF na clouds baba mmoja, mama mmoja kwahiyo radio kama inaitwa ya matapeli inamaana na JF nao pia 😂😂😂
 
watangazaji wa cloudsfm sauti zina wabeba sana but appearance ni 0 hando anaonekana kama mlevi wa pombe kali,babra nae duuh mazoezi muhimu!!
 
kuna ngoma moja ya yule rapa wa south ambae atakuwepo kwenye zari white party ile ngoma verse ya kwanza inasound kama ngoma flani hivi ya joh makini jina lime nitoka!
 
Back
Top Bottom