Haya maandalizi yamecost hela nyingi sana
unashangaa nini sasa hapo wakati wao wana uhakika wa kuingiza 500million
Haya maandalizi yamecost hela nyingi sana
kuna ngoma moja ya yule rapa wa south ambae atakuwepo kwenye zari white party ile ngoma verse ya kwanza inasound kama ngoma flani hivi ya joh makini jina lime nitoka!
kweli wewe chinga...lol
Yaah mi ni chinga wa ukweli.
unashangaa nini sasa hapo wakati wao wana uhakika wa kuingiza 500million
naona hata mimi..siku zote mko nyuma
This is direct name calling na upotoshaji. Am not the person you're referring to.
Jiepushe na name calling in future.
Hata sikujua kuna such a thing
kuna ngoma moja ya yule rapa wa south ambae atakuwepo kwenye zari white party ile ngoma verse ya kwanza inasound kama ngoma flani hivi ya joh makini jina lime nitoka!
Yeah upo sahihi Joe alikopi floo za mshikaji, ata Izzo bizness alikopi hizi hizi floo kwenye walalahoi singo.
This is direct name calling na upotoshaji. Am not the person you're referring to.
Jiepushe na name calling in future.
Hata sikujua kuna such a thing
Hivi wewe kijana kila aliyepo hapa JF unahisi ni mtu mdogo kama le mutuz hahaha kwa taarifa yako Le ni kijana sana kwangu kwa kuingia sehemu yeyote.
Mmh... kumbe huyo Zari hata sio mzuri kihivyo...
Vivumishi vilizidi.
Halafu mmama.
Mmh... kumbe huyo Zari hata sio mzuri kihivyo...
Vivumishi vilizidi.
Halafu mmama.