Binamu warumi hebu niambie yamoto band wanashow weekend hii?
Mmh... kumbe huyo Zari hata sio mzuri kihivyo...
Vivumishi vilizidi.
Halafu mmama.
Nimeipenda hii, Zari anastahili heshima yake.Mimi ninachojua week hii kuna zari white party, izo show sijui band za vigodoro sina habar nazo, nadeal na party za kishua tu, party zenye hadhi nyota tano, party za watu wenye heshima na watu zao
Nimeipenda hii, Zari anastahili heshima yake.
Dinazarde uko wapi? Lile gauni lako la milion 200 umeshaenda kuchukua airport? Maana mzigo uliingia jana usiku airport DHL waliniletea mpaka nyumbani jana, halafu viatu havinitoshi yan dola mia 800 zangu zimeenda bure, nipo posta nimekuta kiatu cha mil 1 na laki tatu nimekpenda ndo nakichukua, ufanye haraka tuwahi lunch pale serena tujipige maselfies
Kuna mtu anaangalia season ya empire toka jana anairudia tu kupotezea party ya zari, mi namshauri atafute tu tamthilia ya isidingo aangalie mpaka jumatatu apunguze stress, maana izi habar hajichiji leo wala kesho
Hahhahhaaa sio ya kukosa hiyoo jamanii nishachukua hilo gaunii aiseeeeee matumbo ukuje
Umeona mapokezi yale? Mrembo by Nature leo nawashauri tu muangalie isidingo maana empire itakuwa fupi leo ahahah natania usinichambe
Leo lazima tujitambulishe mlimani aseeh, maana tutakavyotokelezea, tunaingia km couple leo ni shidaa, aunty Ezekiel asipojifungua leo hjifungui tena
Masikin anaonekana hana raha kabisa anavyotangaza kua atakuwepo mwaz yaan imebumaaaaa aiseeeee bora angekaaa ndani na mmewe invisible
Mimba imemfanya vile lakin yuko poa kuzidi ambao hawajawahi kuzaa
Haswa Dinarzade amebadilika sana kwa ajili ya mimba.
Duuu Big NooooooNdio vike kanenepa pia maziwa yameongezeka ukubwaa,,vipii utaenda Mwaz instagram party