Congrats Mayweather 45-0 and $41 million in your bank account. 4 more fights to tie the record.
Upo MGM grand Ya Vingunguti au ya Manzese?
pambano lijalo huyu Mayweather tumkutanishe na mtoto kutoka Milima ya Ulugulu SMG Cheka himself.....!!!
pambano lijalo huyu Mayweather tumkutanishe na mtoto kutoka Milima ya Ulugulu SMG Cheka himself.....!!!
Sasa najiandaa kutoka Las Vegas na kisha nirudi zangu Los Angeles ktk viunga vya wazee wa Rim na kupimp magari yaani Compton...
Haya maliza Fanta Kipaplipapli yako hiyo urudi nyumbani sasa...
Kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwaaa, teh teh teh teh teh, siyo fanta bambuucha?
floyd v PACMan hilo ndio pambano
Pacman atakalishwa mbona!
ah wap floyd mwenyewe anamwogopa
Dogo yupo poa...ila leo Floyd ni mjanja sana anataka kushinda kwa point. Ndiyo maana anamdonoadonoa dogo!
Umemwangalia Pacman kwenye mapambano yake mawili ya mwisho? Kadrop sanaa.
Congrats Mayweather 45-0 and $41 million in your bank account. 4 more fights to tie the record.