Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,328
kwani floyd kaanza kumkimbia pacman leo over 3yrs ana mduck
afu floyd ni mjanja sana kwenye ku pick opponent wake coz alijua canelo hana speed so asingempa tabu kucheza defensive style yake ya kila siku
by the way floyd always wins on point kwa sabab ya ku defense sana
kapigana na mtu kamzid almost a decade
manny hata kma ameanza ku drop ni kutokana na hayuko fit psychological kutokana na mambo yake ya nje ya uwanja akitulia floyd anakaa tena kwa KO
Inshallah! Mie binafsi ntafurahi sana kama Pacman atamdondosha Floyd,
Lakini si kweli kuwa Floyd huwa anamkwepa Pacman bali wanakwepana na wanashindwa kukubaliana kwenye malipo