Msarendo
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 10,888
- 7,079
nipo katika ukumbi wa MGM Grand nikifuatila kwa karibu kabisa mapambano ya utangulizi.
Lakini kinachosubiriwa hapa ni pambano kati ya Maywether na Alvarez...
Twende sasa.........
Upo MGM grand Ya Vingunguti au ya Manzese?