VUVUZELA
JF-Expert Member
- Jun 19, 2010
- 3,103
- 798
Hah hah hah Kaka mchezo wa 8oxing we ufuatilie kama mshabiki tu.
Ila wale wanaotwangana waache kama walivyo
Nangoja mpambano wa Matthysse vs Garcia.
Go Garcia
Hah hah hah Kaka mchezo wa 8oxing we ufuatilie kama mshabiki tu.
Ila wale wanaotwangana waache kama walivyo
Hutakiwi kukosa hii ishu...
Maana hawa tunaowasubiria hakuna aliepoteza pambano.
So atakaejamba leo aibu yake
Mayweather akishindwa itakuwa poa kwangu. anaongea sana akishinda, Nataka nione akishindwa ataongeaje.
Haya kunakuchaaaaa sasa
Mayweather akishindwa itakuwa poa kwangu. anaongea sana akishinda, Nataka nione akishindwa ataongeaje.
Haya kunakuchaaaaa sasa
Garcia all the wayMi nafuatilia Showtime. Ishe ka disappoint.
Go Garcia.
Go Mayweather.
Si bure,we Mzaramo!Umaarufu wangu mimi ni kama wa Jua...
asubuhi Mashariki jioni Magharibi...
Mchana mnanikimbia...
Usiku mnaniulizia...
Umaarufu wangu mimi ni kama wa Jua...
asubuhi Mashariki jioni Magharibi...
Mchana mnanikimbia...
Usiku mnaniulizia...
lil wayne na justin bieber ndio waliingia nae,
Haya business inaanza now... 1 2 3 go ndio submit yangu