Live from LEO TUPO HAPA PUB

mimi nashangaa kwanini sikutani na wewe mkuu. siku ile pale kinondoni nikakuta ymeondoka, white party hukuja, leo sipo lakini ipo siku tutaonana. mia

Nimekuwahi hahaaa...
Umeenda wapi kwani?
 
yaani nyie kwa kupenda mambo ya usku!...si mlisema saa kumi na moja?. sipati picha mateja wa hapo komakoma na kwa mama zakaria watakavyo wafanyizia..hahahahahaaa.!!!...(kidding). mia
Shindwaaaaaa kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…