Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,673
- 167,735
Evelyn Salt mhh nimeamini,naanza kuchukua tahadhari shem wangu,Tukutane jioni tukitoka kazini tuangalie kama tunaweza kuendelea kuitana shemeji au tupange yetu!
COPY: Madame B
Shkamoo
..mzima weyeee...Mambo juu ya mambo....
Tafadhali tena samahani sana usitake kunigombanisha na shoga angu!!!!!!!!!
huyu ni shemeji angu tu.........
Natazama kwa makini nyendo zake mkuu....
Eh eh eh eh eh!
Ushoga gani huo!
Nimeshakujua wewe si shoga mwema.
Naepukana na wewe sasa hv.
Hv kweli kile kiungo ndio kituachanishe ushoga wetu?
Ben Saanane, Come baby ulale juu ya kifua changu.
Ujipoze Kamanda wangu.
Nishakwambia Evelyn Salt ni Mamluki.
.......mi sihitaji kiungo wala mboga, unanchukulia vibaya tu shoga!!!!!!!
Unataka kuninyima nini!!!!!!!
Umetoroka kwenu umekuja home,unataka tuspend tafadhali uende pia uache tabia zako za kutaka kunichumu,
najua wazo lako ni kuwa na mimi mpaka kufaaa,,nenda shule kwanzaaaa,
usione nadharau mi ntakusubiri,nangoja ukue tutakuja kuoana.
Baby candy
Hujanitumia
..mzima weyeee...
:A S-heart-2::A S-heart-2:
Madame B asijue shem!!!!!!!!!
Shemeji si uniambie tu direct ya nini mafumbo...........
Hatajua Shem wangu,nitamwambia niko kwenye viako vya kisaiasa....