Live from LEO TUPO HAPA PUB

Mhm ila kwa matumizi ya baadae niliambulia!
 
Mimi nina mke wangu na ninaishi naye kwa furaha...mabinti zangu wote wanaamua wenyewe,miye nabariki tu maamuzi yao.
CL kashasema anataka "utawa" sasa...

Wewe ndio wampotosha...hebu usiwe kikwazo kwenye mpango wa Mungu.
 
Hahahahaha hadi KakaKiiza nae mtoto wa mama kaingia mitini
Sasa nyie mnaojifanya ma crew mnakunywa maji kilimanjaro huku mimi naendeleza libaneke na mzee wangu ODM a.k.a Asprin je mtataka kujilinganisha na sisi BTW niifata Harrier kwa hiyo mnisamehe!!kwa vimini ukuviona? Mtambuzi una mambo!! Madame B vipi ulitoka saa ngapi??alafu wewe Remmy ulifika salama je yule jamaa aliyevaa green vest ya kijani!!!ajakupiga makofi??maana mhm :tape2:ulikuwa unanipa viepe nikasikia anakoroma na wewe ukasitisha msaada!!
 
Last edited by a moderator:
Asnam:
- ngoja niku-pm tufanye mpango wa lunch date
- dat should b fyn witchu babe


Evelyn Salt:

- nextym ongea na Kipaji Halisi akuazime mtandio wa amu alioibaga kwenye white party.

kaka Mtambuzi:
- Kwa kweli mimi nina wasiwasi mkubwa na bw. Kipaji Halisi...that guy z some silent killer.

- KakaKiiza alikosea akatongoza H na mwenzake sijui kama walimuelewa..chezea govinder wewe..

- FirstLady strawberry lips kidogo imuumbue alipokutana na mlevi mwenzie suruali ishashushwa chini tayari kwa ku do ze nidful

- Vin Diesel tamaa ya fisi ilimponza kwa kutaka FirstLady na wageni wako....akaishia kukosa wote. wait..yule baamedi sijui kama alipona!!

Jiwe Linaloishi:
- mangi, ulimisije ze occasion!???
 
Mimi nina mke wangu na ninaishi naye kwa furaha...mabinti zangu wote wanaamua wenyewe,miye nabariki tu maamuzi yao.
CL kashasema anataka "utawa" sasa...

Huo utawa kautaka lini?
 



Ulifanya vyema kuwaalika, maana walipendezesha kijiwe sana....uendelee na siku nyingine...
Yale mapaja yao yalikuwa matamuu kuyatazama, qwinqwi qwiiiii
 
Last edited by a moderator:
Safari hii nimebeba mimi!!

Mkubwa ulifika salama!??

Halafu yule maza pale pembeni alikumind sana. Aliniita akasema alikuwa amekupenda mwanzoni alafu ukamcheka..ulimkata stimu. Akataka alianzishe na mimi...heheheh..btw eti ni mtoto wa professor yule. sijui nimrudie leo....
 

Hahaha wote waliobaki hawakuwa na mipango yoyote wakaishia kuwa consoled na govinder!

- nilipigiwa simu na Remmy eti baada ya kufikishwa ubungo Mtambuzi hataki kushuka kwenye gari anataka na yeye kuelekea barabara ya Moshi...:A S 39:

- Mimi sisemi contents za simu aliyonipigia FirstLady.:shut-mouth:
 
Last edited by a moderator:

Sema kwelii...sikuonanpicha, looo.. FirstLady nusura....nilionanalivyobebwa nikamtamania.
 
Last edited by a moderator:

Ina huyu alie pembeni yangu sio FirstLady?
Kuna mtu alihama meza akaja kukaa na mgeni aitwae P.. Mentor naomba uniulize jina la huyo mtu tafadhali.
 
Last edited by a moderator:

Haha haaaaaaa
Majanga haya....nilishangaaje tu, nikasema yeuwiii nafwaa leo picha linaungua..
Nilifika salama salimini.
 
Last edited by a moderator:
Ina huyu alie pembeni yangu sio FirstLady?
Kuna mtu alihama meza akaja kukaa na mgeni aitwae P.. Mentor naomba uniulize jina la huyo mtu tafadhali.

Hahahahaaaaa...

- Una maanisha babu Asprin?? Yeye alikuja kwa ukaguzi tu ama naye unamuonea wivu.

- Mi naomba tukuulize wewe na FirstLady: aliyemhama binti akaenda kukaa na wanaume wenzie nani??

Copy: zombie KakaKiiza
 
Last edited by a moderator:
Huna dalili yoyote inayo onesha umekwenda kanisani.

Soma, Zaburi 91


jumapili njema!

Mkuu did you mean ZABURI 151 ??!
Nzuri sana hiyo kwa wale ambao hawakwenda church....
 

Nilifanya kazi ya ziada kumshusha....khaaa...sirudii tena.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…