LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer


goma limerudiwa ni kichwa ndo maana refa kawek mpira kati akiwa naa matumaini kibao watapigwa tu milani kumbe sivyo.. na milan katoa handcap safi mpaka una hisi kufa..
 
Baca haiwezi kuwa bora milele pia ni timu ambayo Messi akikabwa inakuwa kama Joka la Kibisa.
Timu zote zimecheza vizuri ila Baca mbinu zimekwisha na wengi wameridhishwa na matokeo safi.

Japo wale wazee wa Kanzu na sarakasi hawajaamini kilichotokea ndiyo mpira hasa unavyokuwa.

Na yule jamaa aliyebeza historia ya Ac Milani akidai ni mavi ya kale wanye mapya leo nadhani sasa yananuka vizuri.

Ilibaki kidogo yafike 3 ya Kenya.
 
jamaa hawakusoma kabisa gemu ya jana ya aseno wamecheza wee wakaambulia kichapo na hawa world entertainer wamepigwa na hapo utasikia goli la mkono ambalo ni kichwa ndio limeitoa barca..
 
Kuna mtu Uingereza kashinda 1million pounds alibashiri matokeo ya mechi zote mbili kwa usahihi

 
Kwa tunaobet leo ngoma ngumu!! Hata bookmakers wameweka big odds kwa Barca 7/5 kushinda.. Hii inamaanisha game ni ngumu sana.


Sent via EyePhone


Kwa sie wenye kuona Mbali tulijuwa mapemaaaa.
mwenye timu yake Gutierez alijuwa mapemaaa na ndio maana hakuleta pua yake humu...
 
hii gemu huwa sitabiri maana tunasubiri ndoto za alinacha maana kwa sasa password ya ushindi wa milan ni Super Mario Balotelli former city striker..


Omba radhi mzee mwenzangu...
 
I'd rather watch juventus play than ac milan...leo its barca all the way...hakuna mjadiliano


Siku nyingine nikikwambia Barca ni sawa na
Kariakoo Lindi au Mji Mpwapwa unatakiwa
kunijibu ''Ndio Kaka''
 
Mkuu,
I like your courage and determination towards your team,but today z the DIFFICULT day usijiamini kulpitiliza!


Siku nyingine nikikwambia Barca ni sawa na
Kariakoo Lindi au Mji Mpwapwa unatakiwa
kunijibu ''Ndio Kaka''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…