Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,377
Gang Chomba mkuu kubali tu yaishe barca wako juu saana! Mtakula goli za messi mpaka mshibe kila la kheri mdau leo
Gang chomba tunaomba uje utoe utabiri na leo,, mbona unakimbia thread?
Hiyo LIVE yenyewe iko wapi sasa?LIVE: AC Milan VS Barca..
Hilo 1 ulilowapa Milan amefunga nani, sijaona Mchezaj wa Milan ambae anaeza akawafunga Barca leo. Ila kwa kuwa Bahati ipo ktk soka lolote laweza tokea.
Gang Chomba Prediction...
Mechi itakwisha kwa droo.
Mwaka jana tuliona maamuzi ya ajabu katika soka. Kona haijapigwa refa kafunika tuta. sijui leo itakuaje. But mimi nipo na Gang Chomba leo. FORZA AC MILAN. Waspain kwetu sisi wataliano ni kama vile watoto wa form four na NECTA. Ac milan Necta, Barca mwanafunzi. tutaona nani zaidi.
Kelvin Philips Boateng. Mikiki mikiki yake anaweza kupata angalau hilo 1. Tena wana bahati msela Super Mario hatacheza leo.
Gang Chomba mkuu kubali tu yaishe barca wako juu saana! Mtakula goli za messi mpaka mshibe kila la kheri mdau leo
Mwaka jana tuliona maamuzi ya ajabu katika soka. Kona haijapigwa refa kafunika tuta. sijui leo itakuaje. But mimi nipo na Gang Chomba leo. FORZA AC MILAN. Waspain kwetu sisi wataliano ni kama vile watoto wa form four na NECTA. Ac milan Necta, Barca mwanafunzi. tutaona nani zaidi.
Huyo mfungaji wa magoli ya penalti hatacheza kwa nini?... Tena wana bahati msela Super Mario hatacheza leo.
hahahaha duh mzee mbona unawaua hawa analog wa italia ALEYN
Gang Chomba Prediction...
Mechi itakwisha kwa droo.
Sijui Milan anamsimamisha Nani ili amzuie Messi.