LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

Minalfaizina yakhe...
Messi anadai eti alikunywa Fulsana nyiingi kabla ya Mechi
Ulipotoa post yako umedharauliwa sana,umekejeliwa kwa kila neno kama piga ua,cheza uchezavyo,Barca anampiga mtu na mwishoni ili kuficha aibu watu wanasema bado NOU CAMP,ila naomba uwakumbushe kuwa Barcelona mwaka huu toka kwenye makundi imepata ushindani mkubwa embu wafuatilie mechi za makundi then watasema mechi ya marudiano itakuaje! Biashara asubuhi bwana Jioni mahesabu bwana.Hongera mkuu japo ulianza pekee yako lakini mwishoni watu wametoka kwa aibu.Waliocheza kamali wengi nawapa pole
 
Wamepigiwa ngoma ya njaa jana.. Panapo uhai na uzima 2nd game ndo shughuli inamalizwa..

Sent via EyePhone
 
Baba wa mafanikio ya soka yaani klabu ya AC Milan yenye maskani yake Barabara ya Turati hapo mjini Milan leo inajimwaga katika Dimba la nyumbani la Sansiro ama ukipenda liite Giussepe Meazza ama Yusuph Meazza kwa kiswahili kupambana na Barcelona kutoka katika mji mdogo usio na kumbukumbu wala mvuto wowote wa Catalan ama wenyewe hupendelea kuuita Catalunya. Mji ambao unalilia kujitenga toka katika mabavu ya Mfalme nguli wa Spain.

Milan has all the best players and almost every
soccer player dreams of joining it first one is kaka
second nasri third tevez fourth cristiano Ronaldo
only if Jose Mourinho would come to AC Milan
which he will if he wants to win titles Milan have
won more trophies than any other football team in the world. Should be numero uno!

Barcelona wakiingia uwanjani kwa kumbukumbu ya kuandamishwa na Chelsea msimu uliopita huku asilimia 75 ya washabiki wa soka wakiamini kuwa Barca wanapatiwa upendeleo dhahiri toka kwa UEFA wanataka kudhihirisha kuwa wana uwezo.
lakini swali je uwezo huo wanao kweli?
Tulishuhudia msimu uliopita Refa akiharibu pambano la Milan na Barca kwa kuamuru ipigwe penati kabla ya kona kupigwa hivyo Deadball ikazaa Deadball kitu ambacho hata kwenye Rugby hakipo.

AC Milan is the best! Nobody stands in the way
when they're playing
their best game.
They have also won the second most champions
league cups in history, behind only Real Madrid, but
they got a head start with five in a row at the beginning.

Barca wanatarajiwa kuwa Na:
Vardes, Alves, Alba, Puyol, Pique, Busquet, Xavi, Iniesta, Nesi, Pedro.
Huku ikiaminika kuwa kikosi chao kinaweza kunogeshwa zaidi na waamuzi watakaochezesha.

The best footbal team in the world, ''il
club più titolato al mondo'' this italian team is the
best! The player like Van Basten, Ibrahimovich and
kakà are a lot famous The Most Successful Club In
The World!
I forgot how I fell to Milan, cause since I know football, Milan is the only one in my heart... Only Red
and Black, Rossoneri, Il Diavolo Rosso...

wakiwa na mwanasoka eti bora wa Dunia Barca wamepewa nafasi kubwa na makampuni ya kuchezesha kamali Duniani kuwa eti wataibuka na ushindi...let us wait and see...

In the
last 25 years AC Milan has won more UEFA
Champions League of all other clubs. milan is the
succesful football club on earth.. milan plays attractively, nothing I can say. milan is
just the best ever.
Milan wanatarajiwa kuwa na:
Abiati, Abate, zapata, Mexes, Constant, Ambrosini, Boateng, Montolivo, Nocerino, El Shaarawy, Pazini...

the Sagga Continua...

Gang Chomba Prediction...
Mechi itakwisha kwa droo.
Kweli we unaipenda Milan
Milani walicheza kwa nidhamu ya mpira ya hali ya juu na walifuta maagizo.Walicheza kama timu.
 
Nilifurahi sana jana baada ya Barcelona kupigwa kwani uwa wanajidai ndio wanaujua mpira kuliko klabu yoyote duniani. Nilipata usingizi safi baada ya mechi. Na huu uenda ukawa ndio mwisho wao kwenye mashindano haya kwani AC Milan bado wanayo nafasi ya kuwapiga magoli zaidi kwenye mechi ya marudiano!!!!

Tiba
 
Kwanza nawapa hongera AC Milan kwa kutufunza adabu jana,sawa nimekubali matokeo,ila kocha hatuna,kikosi kilekile hadi wamekariri,sikati chenga twawala lakini tulifungwa,ila goli la kwanza refa aliwasaidia mkono walikuwa 12,maana aliunawa kabla Prince kufunga goli,sawa sikatai,ila mimi namlaumu kocha hakuwa na mbinu,mechi ya jana Xavi ilitakiwa asingemaliza angewapa nafasi Thiago na hata Song maana AC Milan walijaza waafrika wengi so Song angesaidia,maana ukichunguza listi ya jana ndio ileile aliweka vs Granada yaani hata AC Milan walijua kabisa listi itakuwa hivi na hata Gang Chomba akapanga utadhani nae alikuwa na wana La Masia,hata mechi ya marudiano siwezi kusema lolote maana wapo frustrated na listi kocha hana mbinu kama Mourinho na Fergie,binafsi Milan wamenifunga ila siwakubali kiukweli hata kama watatutoa,imeniuma tumefungwa na timu mbovu yaani afadhali ningefungwa na Arsenal kuliko AC Milan maana kocha hata angeamua kuwasurprise angewaweka watoto kina Tello,Cuenca,Montoya,Adriano,Thiago nk AC Milan walikuwa wanafungwa palepale kwao kikosi cha jana walikisomea mwezi mzima na ukichunguza sawa kocha inabidi ubadilishe,ndio maana hata Mourinho sasa anaanza kuijua Barca maana kashasoma wachezaji wanaocheza ni walewale,Xavi namuheshimu ni mzuri ila kwa sasa hatakiwi kumaliza 90 zote kama Guardiola alivyokuwa anafanya na hata Del Bosque La Furia Roja timu ya taifa,haya mambo ya kukariri kikosi kila siku wachezaji hao hao mechi za kila kombe kama timu zote za bongo asipocheza fulani basi kocha anaingiliwa ndio inamponza huyu msaidizi Jordi Roura,nimemkumbuka Tito Francesc Vilanova i Bayo,binafsi nasema tena nimekubali nimefungwa ila hata kama tutatolewa kombe natabiri mshindi wa mechi ya Man UTD vs Real Madrid ndio anabeba maana makocha wana mbinu,zaidi ya yote Gang Chomba hongera najua ni party ya kufa mtu kwenu kumfunga mbabe wa soka duniani,ila yote 9 msijisahau sana lakini ni half time ila zaidi sasa tunasubiria mbinu za huyu mimi namuita msimamia mazoezi hana mbinu,wewe utaona tena ktk ligi kikosi kitakuwa hicho hicho,inabidi achanganya kumfanya mpinzani wako asikujue,binafsi imeniuma sana kufungwa na AC MIlan ni bora hata Arsenal ingenifunga kuliko vibonde Milan.Nimemkumbuka sana Josep Guardiola i Sala,yaani in the words of broken heart is just emotion taing me over!
 
jamaa hawakusoma kabisa gemu ya jana ya aseno wamecheza wee wakaambulia kichapo na hawa world entertainer wamepigwa na hapo utasikia goli la mkono ambalo ni kichwa ndio limeitoa barca..
Mkuu, hongereni kwa kushinda jana! Lakini hebu niambie, Barcelona wangefunga goli la vile ungesema maneno haya haya kuwa ni la kichwa au ungeendeleza ule uongo wenu kuwa wamebebwa?!
 
Kwanza nawapa hongera AC Milan kwa kutufunza adabu jana,sawa nimekubali matokeo,ila kocha hatuna,kikosi kilekile hadi wamekariri,sikati chenga twawala lakini tulifungwa,ila goli la kwanza refa aliwasaidia mkono walikuwa 12,maana aliunawa kabla Prince kufunga goli,sawa sikatai,ila mimi namlaumu kocha hakuwa na mbinu,mechi ya jana Xavi ilitakiwa asingemaliza angewapa nafasi Thiago na hata Song maana AC Milan walijaza waafrika wengi so Song angesaidia,maana ukichunguza listi ya jana ndio ileile aliweka vs Granada yaani hata AC Milan walijua kabisa listi itakuwa hivi na hata Gang Chomba akapanga utadhani nae alikuwa na wana La Masia,hata mechi ya marudiano siwezi kusema lolote maana wapo frustrated na listi kocha hana mbinu kama Mourinho na Fergie,binafsi Milan wamenifunga ila siwakubali kiukweli hata kama watatutoa,imeniuma tumefungwa na timu mbovu yaani afadhali ningefungwa na Arsenal kuliko AC Milan maana kocha hata angeamua kuwasurprise angewaweka watoto kina Tello,Cuenca,Montoya,Adriano,Thiago nk AC Milan walikuwa wanafungwa palepale kwao kikosi cha jana walikisomea mwezi mzima na ukichunguza sawa kocha inabidi ubadilishe,ndio maana hata Mourinho sasa anaanza kuijua Barca maana kashasoma wachezaji wanaocheza ni walewale,Xavi namuheshimu ni mzuri ila kwa sasa hatakiwi kumaliza 90 zote kama Guardiola alivyokuwa anafanya na hata Del Bosque La Furia Roja timu ya taifa,haya mambo ya kukariri kikosi kila siku wachezaji hao hao mechi za kila kombe kama timu zote za bongo asipocheza fulani basi kocha anaingiliwa ndio inamponza huyu msaidizi Jordi Roura,nimemkumbuka Tito Francesc Vilanova i Bayo,binafsi nasema tena nimekubali nimefungwa ila hata kama tutatolewa kombe natabiri mshindi wa mechi ya Man UTD vs Real Madrid ndio anabeba maana makocha wana mbinu,zaidi ya yote Gang Chomba hongera najua ni party ya kufa mtu kwenu kumfunga mbabe wa soka duniani,ila yote 9 msijisahau sana lakini ni half time ila zaidi sasa tunasubiria mbinu za huyu mimi namuita msimamia mazoezi hana mbinu,wewe utaona tena ktk ligi kikosi kitakuwa hicho hicho,inabidi achanganya kumfanya mpinzani wako asikujue,binafsi imeniuma sana kufungwa na AC MIlan ni bora hata Arsenal ingenifunga kuliko vibonde Milan.Nimemkumbuka sana Josep Guardiola i Sala,yaani in the words of broken heart is just emotion taing me over!
nadhani kabla ya mpira kuanza ulisema(kimoyomoyo) kwa kikosi hiki Milan leo hatoki,akijitahidi sana tatu bila,baada ya mechi ndo zinakuja idea angepanga kikosi fulani.Nadhani kufungwa ni kufungwa.
 
nadhani kabla ya mpira kuanza ulisema(kimoyomoyo) kwa kikosi hiki Milan leo hatoki,akijitahidi sana tatu bila,baada ya mechi ndo zinakuja idea angepanga kikosi fulani.Nadhani kufungwa ni kufungwa.
yaani Barca kufungwa inaonekana kma ajabu la dunia, kwel inatisha, wangefungwa kwao kama arsenal sijui ingekuaje!
 
Back
Top Bottom