LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

Another thing is since 04/05 season the winners
have been
04/05 Liverpool(England
05/06 Barcelona(Spain)
06/07 Milan (Italy)
07/08 Man U (England) 08/09 Barcelona (Spain)
09/10 Internazionale(Italy)
10/11 Barcelona (Spain)
11/12 Chelsea (England)
12/13???? . No doubt it's Italy's turn & It better be
Milan.
 
Ha ha ha ha,, pamoja na sifa zote hizo ukilinganisha kikosi cha milan na barca haviendani kabisa,,

We forward shaarawy sijui pazini wenzako forward messi,

Katikati we una boateng sijui montolivo wenzako Xavi na Iniesta..

Beki una Abate sijui Zapata wenzako wana puyol, pique, bousquet, all about world cup/euro winners

Kitachotokea ni zaidi ya arsenal na bayern jana,, mtu mzima ataaibishwa Turati leo

Matokeo yalikuwaje mzee, nimetoka vijijini huko, waweza nifahamisha pls
 
Another thing is since 04/05 season the winners
have been
04/05 Liverpool(England
05/06 Barcelona(Spain)
06/07 Milan (Italy)
07/08 Man U (England) 08/09 Barcelona (Spain)
09/10 Internazionale(Italy)
10/11 Barcelona (Spain)
11/12 Chelsea (England)
12/13???? . No doubt it's Italy's turn & It better be
Milan.

Man Utd ndie atachukua Ndonga mwaka huu... RVP his dream comes True
 
yaani Barca kufungwa inaonekana kma ajabu la dunia, kwel inatisha, wangefungwa kwao kama arsenal sijui ingekuaje!
katika hali ya kawaida Milana walikuwa disadvantaged,that is why kidogo ilishtua hata wewe nadhani ulishangaa
 
katika hali ya kawaida Milana walikuwa disadvantaged,that is why kidogo ilishtua hata wewe nadhani ulishangaa

Mie usiniweke kwenye hilo kundi la walioshangaa...
Mie nilijuwa mapemaaa vile visichana msimu huu vitawafunga wasichana wenzao tu......
 
te te te te te we nakuaminia maana uliweza kusimama alone from the beginning

Ah hah hah haah Kamanda Mourinho, Kamanda Bologna na makamanda wengine hawakuwa nyuma kueleza kuwa wako nyuma ya AC Milan...
Ndetichia alichungulia, kisha baada ya kuona upepo ulivyo akaamua kuingia upande wetu mazima...

Forza Milan
 
Haya Gang Chomba,we mjanja bwana coz uli-manage kupiga sarakasi ukiwa umevaa kanzu,lakini ukienda kule camp nou usisahau ile pini uliyoitumia kubania kanzu maeneo ya msamba ukatuchanganya wenzio tukashindwa kujua umevaa kanzu au pensi nyanya.But usirudie tena ule mtindo wa kupaki basi pale nou camp coz wana catalunya wameapa kupasua vioo vya basi lenu,mpira unaingilia dirisha la kulia na kutokea dirisha la kushoto kitu wavuni mara nne mfululizo.
 
Last edited by a moderator:
Mie usiniweke kwenye hilo kundi la walioshangaa...
Mie nilijuwa mapemaaa vile visichana msimu huu vitawafunga wasichana wenzao tu......
leo mnapiga na inter milan kwenye derby leo nipo milan kama kawaida
 
Haya Gang Chomba,we mjanja bwana coz uli-manage kupiga sarakasi ukiwa umevaa kanzu,lakini ukienda kule camp nou usisahau ile pini uliyoitumia kubania kanzu maeneo ya msamba ukatuchanganya wenzio tukashindwa kujua umevaa kanzu au pensi nyanya.But usirudie tena ule mtindo wa kupaki basi pale nou camp coz wana catalunya wameapa kupasua vioo vya basi lenu,mpira unaingilia dirisha la kulia na kutokea dirisha la kushoto kitu wavuni mara nne mfululizo.

Nani alipaki basi Juzi?
Abate alikuwa anapita upande wake kule, huku nako Constant nae alikuwa anamfuata Alves muda wote...
Acha habari zako.
Hiyo mechi hata Gutierez akikaa kipa wa AC Milan vile vijamaa havitatufunga.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom