LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

AC Milan is the best! Nobody stands in the way
when they're playing
their best game.

You're joking, right?

Since I started being a football fan in early 70s, sijawahi kuona timu inayocheza mpira mzuri na wa burudani kama Barca - never!......and am not even a Barca fan!
 
Huo ni uongo...
Kama ulianza kudekea Soka mwishoni mwa miaka ya 70 basi ungekikuta kikosi boora cha Arigo Sacchi kilichochukua ubingwa wa ulaya mara mbili mfululizo.
Milan ya 89-90.
1. Galli
2. Tassotti
3. Maldini
4. Costacurta
5. Baresi
6. Colombo
7. Donadoni
8. Riijhkard
9. Van Barsten
10. Gullit
11. Ancelotti
Kikosi hiki kilichaguliwa kuwa kikosi booora cha Karne.
Hao Barca wako ni mavi matupu kwa kikosi hicho.
nenda katafute habari za makocha hao na jinsi walivyotamba walipokuwa pamoja walifanya nini.
 
Leo imekula kwako mkuu..Nesi ndo nani?Mbona unamtaja kwa uwoga hivyo..Ahahahahah..Kibibi kizee chatiwa mimba leo maajabu ya dunia.

Mkuu unadesa...
Kibibi kizee kilimtia Celtic libolo 3 last wiki...
 
kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo watu wanazidi kugundua kuwa Barca walikuwa overrated...

Hapa Montolivo, pale Ambrosini, kule kuna Boateng halafu kwa palee panaweza kuwa na Alhaj Suleymane Ally bin Muntari...

Hao ndio sungusungu wanaotarajiwa kuvunja nguvu za Refa pale katikatiki...

Forza Milan
 
Mkuu Gang Chomba, I love AC Milan, and you know that. Lakini mwaka huu mmmmmmhhnnnn sidhani kama the Rassoneri watavuka kwa Barca. Wakivuka hii hatua kwa kuwabatua Barca basi nakuletea gomba gold la mwezi mzima
 
Hah hah haaah Mkuu Sheriff hapa naelekea Kariakoo Gerezani walikokuwa wanaishia wanaharakati wa mwanzo wa kutaka uhuru wa nchi hii kwenda kukamata kitu cha Colombo...

Forza Milan
 
Huo ni uongo...
Kama ulianza kudekea Soka mwishoni mwa miaka ya 70 basi ungekikuta kikosi boora cha Arigo Sacchi kilichochukua ubingwa wa ulaya mara mbili mfululizo.
Milan ya 89-90.
1. Galli
2. Tassotti
3. Maldini
4. Costacurta
5. Baresi
6. Colombo
7. Donadoni
8. Riijhkard
9. Van Barsten
10. Gullit
11. Ancelotti
Kikosi hiki kilichaguliwa kuwa kikosi booora cha Karne.
Hao Barca wako ni mavi matupu kwa kikosi hicho.
nenda katafute habari za makocha hao na jinsi walivyotamba walipokuwa pamoja walifanya nini.

Kumbe hata historia ya timu yako mwenyewe huijui vizuri, kikosi bora cha Milan kilikuwa na hii Italian Trio: Maldini, Albertini na Lentini (Gigi)!
 
Baba wa soccer la ulaya ni Italia kunakotoka club bora zaidi duniani kama Juventus, Milan, Inter, Roma, Lazio, Napoli n.k.

Match na wakatalunya ni ngumu ila "hakuna marefu yasiyo na ncha"
Kama walifungwa na madem zetu wa Celtic then Ac Milan wakaze buti tu Barca inafungika
 
hii gemu huwa sitabiri maana tunasubiri ndoto za alinacha maana kwa sasa password ya ushindi wa milan ni Super Mario Balotelli former city striker..
 
Baba wa soccer la ulaya ni Italia kunakotoka club bora zaidi duniani kama Juventus, Milan, Inter, Roma, Lazio, Napoli n.k.

Match na wakatalunya ni ngumu ila "hakuna marefu yasiyo na ncha"
Kama walifungwa na madem zetu wa Celtic then Ac Milan wakaze buti tu Barca inafungika

kazi mnayo kujipa moyo juu ya barcerefalona..
 
I'd rather watch juventus play than ac milan...leo its barca all the way...hakuna mjadiliano
 
kazi mnayo kujipa moyo juu ya barcerefalona..

Hahahahahahaaa, kumbe wanajulikana hivyo!
nakumbuka kipindi walivyotolewa na Inter ya Mourinho,fitna walizoifanyia Inter kule catalunya kuanzia hotelin mpaka uwanjan lakin mbeleko ilichanikia njiani!
 
kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo watu wanazidi kugundua kuwa Barca walikuwa overrated...

Hapa Montolivo, pale Ambrosini, kule kuna Boateng halafu kwa palee panaweza kuwa na Alhaj Suleymane Ally bin Muntari...

Hao ndio sungusungu wanaotarajiwa kuvunja nguvu za Refa pale katikatiki...

Forza Milan
Acha hizo mkuu GANG'yaani hata kabla ya mechi we unahisi barca kubebwa bebwa tu,au ushayapata matokeo nini na ndo maana mpaka sasa hutaki kubandika utabiri?acheni woga pigeni mpira,hatutaki excuses za ubereko wa refa!
 
...................
Tulishuhudia msimu uliopita Refa akiharibu pambano la Milan na Barca kwa kuamuru ipigwe penati kabla ya kona kupigwa hivyo Deadball ikazaa Deadball kitu ambacho hata kwenye Rugby hakipo.
..................

UEFAlona huwa wanawabebwa sana kwenye haya mashindano. Maamuzi ya kushangaza sana ya marefa hufanyika. Hiyo penalti hata mimi ilinishangaza sana tutegemee kuona maamuzi mengine ya ajabu zaidi kwenye hizi game mbili zinazokuja.

Wacheza kamari wakubwa huweka hela nyingi sana kwa uefalona kushinda, mwaka jana chelsea walivyowatoa huenda kuna watu walifilisika. Nina mashaka hata Platini mwenyewe hucheza kamari
 
Baba wa soccer la ulaya ni Italia kunakotoka club bora zaidi duniani kama Juventus, Milan, Inter, Roma, Lazio, Napoli n.k.

Match na wakatalunya ni ngumu ila "hakuna marefu yasiyo na ncha"
Kama walifungwa na madem zetu wa Celtic then Ac Milan wakaze buti tu Barca inafungika

Asante sana Dume la Shoka.
 
Acha hizo mkuu GANG'yaani hata kabla ya mechi we unahisi barca kubebwa bebwa tu,au ushayapata matokeo nini na ndo maana mpaka sasa hutaki kubandika utabiri?acheni woga pigeni mpira,hatutaki excuses za ubereko wa refa!

Mkuu utabiri mbona upo hewani?
Rudia kusoma thread...
 
Back
Top Bottom