LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

AC-Milan-v-Barcelona-Mario-Balotelli-Fanny-Ne_2903663.jpg

Balloteli anamiliki mnenzi mzuri
 
Umeona mkuu wangu? Watu hawajui kama kuna kitu kinaitwa factor of safety.............. Kwa mfano msome huyu hapa chini..................
Plan B? Yanini kama Plan A inalipa? Maisha ni leo au kesho??? Damn!!!!!

Sasa utajua kwa nini wenye busara zao huwa wanaenda kwenye mapambano na plan zaid ya mbili
 
haha hahha mpk sas Barca keshapigwa glass 2 za Wines.!
 
Hilo 1 ulilowapa Milan amefunga nani, sijaona Mchezaj wa Milan ambae anaeza akawafunga Barca leo. Ila kwa kuwa Bahati ipo ktk soka lolote laweza tokea.
Sulley Muntali kafunga la pili ac2_barca0, dk 80
 
Hii barcelona kama ikishiriki serie A kupata nafasi ya kushiriki klabu bingwa ulaya ni ndoto kwani hata top 5 haiwezi kupata na huyu andunje messi angemaliza msimu bila kuwe katika top ten serie A goal scorers!hawa barcelona watapigwa ubabani na umamani na hawa achee milan....forza milan!
 
"Both goals scored by ex Pompey players" nimemquote huyo commentator wa kiingereza, Mr Allan
 
Mpaka sasa hivi ni juventus na achee milan ndo wamejihakikishia kuingia hatua zingine!forza buluda
 
Back
Top Bottom