LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

Hii barcelona kama ikishiriki serie A kupata nafasi ya kushiriki klabu bingwa ulaya ni ndoto kwani hata top 5 haiwezi kupata na huyu andunje messi angemaliza msimu bila kuwe katika top ten serie A goal scorers!hawa barcelona watapigwa ubabani na umamani na hawa achee milan....forza milan!


Absolutely well u sayed...
 
Yaani watabiri wa jukwaa leo naona mambo magumu.
Mavi ya kale yananuka leo
Kanzu na sarakasi leo imekubali


Bwah hah hah hah hah hah hah hah hah haaaaaaaaaaaa...
Tena kuna mmoja ni mtaliano na leo katusaliti.
Na kwa kuwa simwogopi acha nimuweke wazi ili Ndetichia, Mourinho, Bologna na Myao wa Tunduru wamjuwe Juve mwenzao ni Traitor.
Huyu si mwingine ni Companero.
 
nasikia mavvi ya kale yameanza kunuka kumbe hawa jamaa kutokana wanacheza mpira sana na bahasha za kaki ndio zilikuwa zinawapa kiburi sijui kikosi kitavunjwa kile cha dunia..


Hah hah hah haaah baelezee baelezee
 
Namtafuta gutierez.tulikubaliana tusikimbiane humu.wapi gutierez?!nasema hiviiiiiiiiiii...WAPI GUTIEREZZZZZZZ.....?Chomba nisaidie darubini nimtafute Gutierez?hivi kuna jukwaa la misiba humu?WEE GUTIEREZ WEE,ETI NATHIKIA PALE NOU CAMP PAMEOTA MLIMA MKUUBWA UNAITWA ROSONERII...OUWIII!NIACHENI NIMALIZE FUJO ZANGU NA WASHKAJI HAPA,TUTAONGEA KESHO,CHOMBAAAAAAAAAAAAA....UUUUWIII...BARCA KAPIGWA HAMSA UKWENI UUUWII...ITALIA...ITALIA...ITALIA...ITALIA...WALLAH TUMETESEKA SANA MIAKA YOTE HII KUTAZAMA MAKOMBE TUKIWA TUMEKAA JUKWAA LA MZUNGUKO PALE SHAMBA LA BIBI..OUWIII!RAHA SANA WANA!


Gutierez nimemkuta jukwaa la mapishiiiii
 
Kama kawaidaa. Jirani kapika pilau lazima nishangilie 7bu najua namimi nitakaribishwa. Kwisha habarii yake. Tatizo hamjui kua hizo timu za Spain zinalowaga kwa wataliano. Yani hao hata wangecheza na PESCARA au timu yangu ya mtaa BOLOGNA fc wangekaa. Hongeraa Chomba. Naona watoto wadogo wameona jinsi Messi wao alivyo Ushuzi.


Messi mkia wa Mbuzi...haustiri uchi wala haufukuzi Nzi...
 
Gemu nzuri jana AC Milan walijipanga, Barcelona walicheza kwa mazoea!
Sasa mwaka huu wanatoka mapema kabisa..Barcelona bye bye..:high5:
 
Back
Top Bottom