Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,160
- 17,058
We gang chomba wewe! Utakuja ufe!
Mkuu anaitwa Kelvin Prince Boateng...
ndo kishapenda mwenzako..We gang chomba wewe! Utakuja ufe!
We gang chomba wewe! Utakuja ufe!
Muntari anafanya nini kwene starting 11 yetu? hivi mnyama Nocerino yuko wapi?
Watoto wanajua ku-tan ngozi, watoto portabletotozi za kiitaliano moto ni noma
We gang chomba wewe! Utakuja ufe!
Kama nipo mdogomdogo, si unajua maisha ni taiming kaa kumchinja kobe?Duh mkuu kitambo sana...
Vp kwema?
Ok Nocerino ana majeraha
Huyo mfungaji wa magoli ya penalti hatacheza kwa nini?