Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
Jamani Baca aibu leo naona jahazi linazama hakuna Messi wala Sisimizi
Mabao ya nguruwe
Eti waspaniola wanajitetea hapa Barca wapo kwenye kwaresima kuwafunga milan ni kutenda dhambi kipindi hiki.
Jamani Baca aibu leo naona jahazi linazama hakuna Messi wala Sisimizi
Mabao ya nguruwe
Poleni Baca
Eti waspaniola wanajitetea hapa Barca wapo kwenye kwaresima kuwafunga milan ni kutenda dhambi kipindi hiki.
Full time,
Libolomilan 2 - 0 catalunyanya
Sio waspain hao, hao wacatalunya
Asante.
Wacatalunya wamepakatwa viwili
Full time,
Libolomilan 2 - 0 catalunyanya
leo naona full mvinyo till dawn..Hah hah hah hah haaaaaaaaaaah wale wakurupukaji waliokurupuka na mimi tangu saa sita mchana ya jana wako wapi?
Hiyo ndio AC Milan
Hah hah hah hah haaaaaaaaaaah wale wakurupukaji waliokurupuka na mimi tangu saa sita mchana ya jana wako wapi?
Hiyo ndio AC Milan
everyone at san sirro praise bouteng goal..