"Little older and still a liar"

Kuna wazee wamekatika mshipa wa aibu.

Ila mimi mwanangu akianza sekondari naacha kuchepuka for good.
 
Wakina dada..huwa mnajua kabisa mnadate watu wenye tabia za ajabu..lkn huwa mnakubali kwenda kuolewa nao..
 
Mzee Kaizer kuna wazee wawili watatu wana umri zaidi ya miaka 55 hivi nimewaona wanaacha familia wanaenda kuoa watoto wabichii,sasa sijui ndo fasheni mpya!!
Jawilat nani kakuudhi tena yarabi?
 
Last edited by a moderator:
Nimeshuhudia hilo uswazi kwetu,Bora awe na mmoja basi ijulikane moja kuwa bi mkubwa kachoka mzee katafuta pumziko lakini sivyo,Leo ana huyu kesho Yule.
Watoto wanasimuliwa tu na wenzao mtaani.
Ni aibu kwa kweli.
 
Uzee mwisho chalinze...ngoja niache kuchepuka kama mnaona deal sana tuliooa kuchepuka.
 
Mzee Kaizer kuna wazee wawili watatu wana umri zaidi ya miaka 55 hivi nimewaona wanaacha familia wanaenda kuoa watoto wabichii,sasa sijui ndo fasheni mpya!!

Haina neno kama wanawamudu
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom