ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,378
Mkuu njoo kigamboni beach zote bora hapa Tz Zipo huku. Ukishuka pantoni nenda kituo cha daladala kisha panda daladala zinazokwenda mjimwema.mkuu nipe location ya hzo bichi
Mkuu njoo kigamboni beach zote bora hapa Tz Zipo huku. Ukishuka pantoni nenda kituo cha daladala kisha panda daladala zinazokwenda mjimwema.mkuu nipe location ya hzo bichi
Khaaah ndo man nilisem mtu awe making niwaongo kwnz pia watoto ni nusu ya bei akiw chini ya 5yrs ni bure. Kila kukicha wanataratib mpya wizi juu ukiongea mpk na viongoz wao kauli gongana na wahudumu.dai receipt uone wanavyojizungush![]()
Well! Hyo 40kuoga plus beverages tu ilishakufaga baada mnyoosho wa tabia kuingia tn watu wazim ikawa 20thau na kids 10thau ukitak vyote kuoga na buffet ndo unapew kw 40thau jpil ndo tofaut kdgwako secondary hivyo sio watoto ila wako under 18!
Well! Hyo 40kuoga plus beverages tu ilishakufaga baada mnyoosho wa tabia kuingia tn watu wazim ikawa 20thau na kids 10thau ukitak vyote kuoga na buffet ndo unapew kw 40thau jpil ndo tofaut kdg
Nice place sio masihar mm ilikuw routine lkn baad ya kuona huo ushenz wao mar mbil tatu cku hz naend zngu kwngne man hla kutaft shda bdo tn uitumie kw shd no no no....relaxing z also a duty to fulfill.Asante mkuu nilijua nilipigwa super na wale warembo !all and all ni sehemu nzuri sana ya kupumzika!
Nice place sio masihar mm ilikuw routine lkn baad ya kuona huo ushenz wao mar mbil tatu cku hz naend zngu kwngne man hla kutaft shda bdo tn uitumie kw shd no no no....relaxing z also a duty to fulfill.
kwa hyo zote zinapatkana kipnde cha kuanzia kigamboni mpaka mjmwema?Mkuu njoo kigamboni beach zote bora hapa Tz Zipo huku. Ukishuka pantoni nenda kituo cha daladala kisha panda daladala zinazokwenda mjimwema.
escape bei ya vyakula ikoje?Beach zipo nyingi unaweza kuanza na mbalamwezi pale mikocheni kwa warioba kwa mbele kiingilio 5000 huwa inabadilika,kuna bahari beach kule kunduchi getini unalipa elfu 10000 kuna hapa escape one pia kiingilio bure ukija kigamboni ndio za kumwaga kuna southbeach,barakuda beach,mikadi beach na nyinginezo to mention a few
unataka atekwe mwenzioNjoo ununio beach,usalama wa kutosha wa gari na mali zingine,hakuna vijana wakabaji.Kila jumapili watu wanakula muziki kuanzia saa 7 mchana hadi SAA 5 usiku,beach ina maji meupe hayana tope,beach ni free haina malipo lakini zipo groceries zinazouza vinywaji mbalimbali pamoja na nyama choma.
Ndio ilikuwa michezo yangu hii.Ukifika huko beach....kaa mbali na wale vijana wanaokodisha mapira ya kuogelea.......wale vijana ni hatari sana kwa kuwabaka mabinti za watu........
Wanajifanya wanamfundisha binti kuogelea alafu wanampeleka kwenye kina kirefu......ambapo wanajua binti hawezi kujitegemea mwenyewe bila ya msaada wako....na hapo wanamtishia kumuacha hapo....kama atawanyima ile kitu.......kwa uoga wa mawimbi na hofu ya kifo binit anakuwa hana la kufanya zaidi ya kuwakubalia.....na wakati mwingine kubakwa......
Mambo. Unaishi ununio?unataka atekwe mwenzio
unaishi huko???Mambo. Unaishi ununio?
Mimi nipo Malawi kikazi.unaishi huko???
naomba funguo basi nikakae geto kwako huko ununioMimi nipo Malawi kikazi.

Niandikie pm.naomba funguo basi nikakae geto kwako huko ununio![]()
hehe am kiddingNiandikie pm.
Kuna wapangaji upande mmoja lakini
Hata kama.hehe am kidding
mie tena ndo nikutafute wewe unitongoze????Hata kama.
Najua unatania.
Sasa unadhani nakutongozea hapa hapa jukwaani au pm?
Nitafute pm nikupe mistari



makubwa