List ya beach nzuri DSM

List ya beach nzuri DSM

em niambie kwanza hapo ununio menu yao ikoje?
Kwa dsm menu ni ile ile mama.
Kma unataka sehem za ukweli nikupeleke ma cape town fish market ama karambeI huko au karafuu cafe.
Kama unapenda misosi.
 
Beach gani Ni free lakini nzuri na salama na Huduma zingine zipo

Argue don't shout
 
Back
Top Bottom