Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,404
Kwenye ziwa Nyasa.matema beach ipo mbeya
Kwenye ziwa Nyasa.matema beach ipo mbeya
Tanga, Pangani.No sijafika, iko wapi hiyo?
Ni kweli kuna tatizo pale hata mimi limenitokea, nilichukuwa room pale booking nilifanya online, siku ambayo nilikuwa nacheck out nikapewa bila ya breakfast nilipe kwamba cash niliyolipa ilikuwa ni for bed tu.Ila kuwa makin Ramada nilikuw mteja mzr sn lkn wakaanza njaa zao mhudumu au cashier anakufuata anakwambia udanganye kuwa umelala pale umlipe kwa siri huku anakutolea macho Kama police aisee niliwashusha viwango sn. Niliwatimua na ckuwa ht na mpango na receipt nikaanz kudai zoote kuanzia lunch hawana wanarushiana mipira mpk nikaondoka. Tamaa zakijinga sn.
Wanajishushia sn heshima. Hotel nzr lkn makandokando kibao mpk kunakuw km uswazi.Ni kweli kuna tatizo pale hata mimi limenitokea, nilichukuwa room pale booking nilifanya online, siku ambayo nilikuwa nacheck out nikapewa bila ya breakfast nilipe kwamba cash niliyolipa ilikuwa ni for bed tu.
Huwa nakasilika sana mtu anaponiona mimi sina akili kiasi cha kushindwa kujuwa nilifanya booking ya aina gani na ili kuondowa makandokando siku niliyocheck in nikalipa cash money, siku nacheck out unanidai bill za kipuuzi, wameshindwa kujiuliza kitu kidogo tu ni kwa nini siku zote nilizokaa pale nisidaiwe lunch au dinner? Ni kwa nini deni nidaiwe breakfast?
Watanzania tubadilike sana otherwise kwenye kazi zinazohitaji seriousness tutakuwa tunapigwa chini tu.
wewe ni mnyaki eenhe?Kwenye ziwa Nyasa.
Ramada chakula lakiStarehe gharama, Ramada is the best place.
Kweli kabisa mkuu ilishawai kunikuta hiyo ila nikafanikiwa kupangua..Ukifika huko beach....kaa mbali na wale vijana wanaokodisha mapira ya kuogelea.......wale vijana ni hatari sana kwa kuwabaka mabinti za watu........
Wanajifanya wanamfundisha binti kuogelea alafu wanampeleka kwenye kina kirefu......ambapo wanajua binti hawezi kujitegemea mwenyewe bila ya msaada wako....na hapo wanamtishia kumuacha hapo....kama atawanyima ile kitu.......kwa uoga wa mawimbi na hofu ya kifo binit anakuwa hana la kufanya zaidi ya kuwakubalia.....na wakati mwingine kubakwa......
Protea amani Beach kigamboniNaombeni list ya beach nzuri za kuogelea weakend ukitoa Coco beach hapa DSM, ziwe na usalama sio za wakabaji na wabakaji na ni muda gani mzuri wa kuogelea? Mdau toka bush.
Je hiyo ni kubakwa au amekubali mwenyewe, kwa mtazamo wangu mimi naona kama katoa rushwa lsijui wengine.Ukifika huko beach....kaa mbali na wale vijana wanaokodisha mapira ya kuogelea.......wale vijana ni hatari sana kwa kuwabaka mabinti za watu........
Wanajifanya wanamfundisha binti kuogelea alafu wanampeleka kwenye kina kirefu......ambapo wanajua binti hawezi kujitegemea mwenyewe bila ya msaada wako....na hapo wanamtishia kumuacha hapo....kama atawanyima ile kitu.......kwa uoga wa mawimbi na hofu ya kifo binit anakuwa hana la kufanya zaidi ya kuwakubalia.....na wakati mwingine kubakwa......
Je hiyo ni kubakwa au amekubali mwenyewe, kwa mtazamo wangu mimi naona kama katoa rushwa lsijui wengine.
Kweli kabisa mkuu ilishawai kunikuta hiyo ila nikafanikiwa kupangua..
Mkuu sirudiiii japo kwa sasa nimeshajifunza kuogelea mwenyewe so siwezi kuhitaji tena msaada wao.. Wapuuzi sana wale watuUna bahati sana.....usirudie tena.....
Umeuliza swali nzuri sana, kweli Id yako na swali lako linaonyesha umedhamiria kuwatafuta. Mshirikishe na yule rafiki yako anayependa kukesha kwenye disco za uswahilini.Naombeni list ya beach nzuri za kuogelea weakend ukitoa Coco beach hapa DSM, ziwe na usalama sio za wakabaji na wabakaji na ni muda gani mzuri wa kuogelea? Mdau toka bush.
Mkuu sirudiiii japo kwa sasa nimeshajifunza kuogelea mwenyewe so siwezi kuhitaji tena msaada wao.. Wapuuzi sana wale watu
sureNimeshashuhudia mabinti wengi wakibakwa.....wengi hawasemi kwa sababu ya aibu.....
mkuu nipe location ya hzo bichiSema akija Mikadi Beach Ajiandae kwa kabari
Bora aelekea chadibwa, kipepeo, southbeach na hata hapa sunrise nipazuri tu
Cku hz ni 40,000.nakuogelea juu chezea magu[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Khaaah ndo man nilisem mtu awe making niwaongo kwnz pia watoto ni nusu ya bei akiw chini ya 5yrs ni bure. Kila kukicha wanataratib mpya wizi juu ukiongea mpk na viongoz wao kauli gongana na wahudumu.dai receipt uone wanavyojizungush[emoji38]Mkuu mwezi uliopita nilipeleka wadogo Zangu pale swimming walisema kiingilio Kwa kichwa 40,000/= na vinywaji viwili tu ishu ya buffer haikuwepo!ikabidi niwa achie Na hela ya kutumia