Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,483
- 108,822
Jifunze kusoma na kuelewa, ukisoma na kuelewa walichoandika wenzako itakusaidia kutoandika kitu usicho na ufahamu nacho.Wakuu mbona bado mnataja bei za kuingilia Ramada na viunga jirani? Kwani mleta uzi si anataka kuogelea baharini? Na vipi lile agizo la wananchi wote kuingia bure kwenye fukwe zooote? Agizo limesitishwa?
Au lile agizo nalo limehamia Dodoma?